Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wekezeni pesa ligi ya Estonia wazee haitawatupa..........leo kuna cap hapa weka hata mshahara wote, FC Flora,Kalju.
 
Estonia nimeangalia statics zake hamna timu ya kuweka zote vimeo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Madrid atashinda msijali costa hayupo tena kule ila arsenal kazi ipo manake kule kuna Demba ba hatari

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wazee wenzangu, katika betting inabid ujaribu maana hakuna linaloshindikana chini ya jua. Mpira unadunda Dk 90' .
 
Ngoja nitest zali
 

Attachments

  • 1408471915201.jpg
    1408471915201.jpg
    68.1 KB · Views: 83
Haraka haraka imenivutia vp process zake za kuwithdraw pesa hadi inifikie bongo(mana naona ni ya nje hii site)

As long as una visa debit ukiwithdraw within 2 hrs ipo ktk bank acc yako, kwa nje ya europe sijui , cheki ktk FAQ yao ktk website
 
Mi nilimpa anayeongoza tu.. Hapa nasubiri dakika ya 75 nampa draw online kulinda pesa yangu kama asipoongeza la pili
 
Back
Top Bottom