Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kwa muhindi nimeweka mikeka 4 timu 8 kila mkeka

Mkuu mkeka mkubwa huo, kata kidogo alafu ongeza mpunga, by the way jina lako noma, hahahaha
Hapo ilikuwa inafanyika analysis kabla ya kuweka mkeka.
Nimeumiza kichwa kama injinia wa NASA anataka kupeleka chombo mwezini
Formation yako naona ni kushambulia tuu
nakutakia mafanikio bhana
Hapo ilikuwa inafanyika analysis kabla ya kuweka mkeka.
Nimeumiza kichwa kama injinia wa NASA anataka kupeleka chombo mwezini
NEWCASTLE....MAN UTD.... NORWICH....DERBY....BOURNEMOUTH...SWANSEA.........LEICESTER NA WEST BROM...... inakuaje hapo wakuu...dau 6300...pocbo win 112000
Leo kwa muhindi nimeweka mikeka 4 timu 8 kila mkeka
hahahahaha Nokia naomba uwe rafiki yangu, unanipa raha sana, kitu cha scientific calculator, unatafuta log?
Hapo ilikuwa inafanyika analysis kabla ya kuweka mkeka.
Nimeumiza kichwa kama injinia wa NASA anataka kupeleka chombo mwezini
Hahahaha mzee mwenzangu nokia naona unajaribu kuvuka maji ya shingo bila kuloa mgongo
mzee nokia noma sana anaweka vocha bila kukwangua.. Hahahah
Ila wazee wenzangu achaneni na timu za ufaransa...leo sijazigusa kbs hata waseme zinacheza na milambo usiziamini