Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo ilikuwa inafanyika analysis kabla ya kuweka mkeka.

Nimeumiza kichwa kama injinia wa NASA anataka kupeleka chombo mwezini
 
Attachments

  • 1409054249205.jpg
    1409054249205.jpg
    50 KB · Views: 85
Hapo ilikuwa inafanyika analysis kabla ya kuweka mkeka.

Nimeumiza kichwa kama injinia wa NASA anataka kupeleka chombo mwezini

hahahahaha Nokia naomba uwe rafiki yangu, unanipa raha sana, kitu cha scientific calculator, unatafuta log?
 
NEWCASTLE....MAN UTD.... NORWICH....DERBY....BOURNEMOUTH...SWANSEA.........LEICESTER NA WEST BROM...... inakuaje hapo wakuu...dau 6300...pocbo win 112000

Huu mkeka uko safi mbona, mie naona timu zote ziko salama
 
hahahahaha Nokia naomba uwe rafiki yangu, unanipa raha sana, kitu cha scientific calculator, unatafuta log?

Mimi nasubiria hizo mikeka ila timu nyingi za premier lg zitashinda leo
 
Hii ni biashara kama biashara zingine ukiwa makini waweza lala tu ukiamka unachukia daftari, kalkuleta, kalamu baasi unaanza angalia mechi
 
Hapo ilikuwa inafanyika analysis kabla ya kuweka mkeka.

Nimeumiza kichwa kama injinia wa NASA anataka kupeleka chombo mwezini

Hahah mkuu kweli umeamua kuwa vere siriasi na hii mambo ila ht mm kuna kipind nlikuwa napiga hesabu kali sana iliuokuwa ikija na format za hatari ila badae nkaona unaweza kudata hapa ila kila la heri mkuu
 
Back
Top Bottom