Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu jinsi gan ya kudeposit kwa m pesa ktk iplay8casino

Tigo pesa Mpesa process ni ile ile, Nenda kule kwenye namba ya kampuni ambayo ni 888866 namba ya kumbukumbuku unaweka namba yako ya simu uliyoweka kule kwenye registration iplay. Zile namba za risiti kwenye mesej za mpesa utazituma pamoja na kiasi ulichotuma kwenda roburt@iplay8casino.com au leko@iplay8casino.com
 
baharia we noma sana hadi ulimleta mkurugenzi wao humu kipindi kile
 
duh, hongera bhana....ila ww ulivo si ajabu unaweka yote! hahaha

Mweee hapana siwezi weka hela yote hiyo kwenye timu moja. Mie betting niliyowahi weka hela nyingi ni 100000 afu Juve akafungwa ikaenda.
Nyingine ni ile Madrid aliniua kabisa nija kaaa wiki bila bet
 
Nimeangalia fixtures za katikati ya week nikaona akuna kitu, litakalotokea na litokee faida yote ya jana nimeweka hapa..
 
Attachments

  • 1409493002852.jpg
    1409493002852.jpg
    45.3 KB · Views: 75
Hongera mkuu,umetupa moyo wa kuendelea, hyo nayo ni ya meridian kibandan au online?

Huwa nabet online ila kutafuta mechi kumenishinda so kuanzia jana nimeanza bet vibandani, meridian wana vibanda vingi hadi raha

Af ufanye mpango uitumie kwa matumiz mengne mana we huchelew kuibetia yote upate bilion, haha

Hapana mkuuu hiyo itaingia benki kesho asubuhi saa 5
 
Back
Top Bottom