Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Total corners to run ndo betting yangu kati ya arsenal na Leicester
 
Attachments

  • 1409497737952.jpg
    1409497737952.jpg
    23.1 KB · Views: 79
Kuanzia kesho nitakuwa naweka kilo kwa odds 1.5 nile 50
 
nimeweka both teams to score:
PSG vs ST.ETIENE,
BENFICA vs SPORTING CF,
VILLA vs BARCA,
PORTO vs MORE,
METZ vs LYON
 
Mkeka mmoja ndo umebakia unapumua mingine yoote chali, kweli betting ukishinda leo kesho wanakupiga
 
Mie naangalia dunia tu na kuchat whatsapp, nishafunga biashara mpaka next week. Haha
 
Mie naangalia dunia tu na kuchat whatsapp, nishafunga biashara mpaka next week. Haha

Umekula leo eeeeh
Mikeka yetu wengine inaenda hadi saa sita ndio tutajua hatima yetu
 
Back
Top Bottom