Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazo zuri mzee mwenzetu. Ila huoni hapo tutawatenga wazee wenzetu wengine.? Maana whatsapp group haichukui watu zaidi ya 50 kama sijakosea.
 
ivi humu tunafika 50 kweli?...sidhan! au kuna members wanachunguliaga tu...wanachukua mikeka, bas!! ila nahofia wengine labda simu hazisupport whatsapp.....
 
C.E.O atalifanyia kazi, tuanzishe group yetu ya whatsapp, maana sometimes kuna watu wanapiga mpaka ligi za vietnam na mongolia wakati wengine tunakoroma heheh
 
Pole mkuuu ila utapata tu.
Kumbuka next week hakuna epl

Naam mkuu international break ndo mda wa kuweka mzigo mnene kama j5 ni Germany na Argentina hio ntakufa na messi, lazima walipize kisasi
 
C.E.O atalifanyia kazi, tuanzishe group yetu ya whatsapp, maana sometimes kuna watu wanapiga mpaka ligi za vietnam na mongolia wakati wengine tunakoroma heheh

hahahaha.. kweli lakini! itasaidia!!
 
ivi humu tunafika 50 kweli?...sidhan! au kuna members wanachunguliaga tu...wanachukua mikeka, bas!! ila nahofia wengine labda simu hazisupport whatsapp.....

hahaha kuna memberz kibao humu wanachungulia kimya kimya sema ndo vile wanajishtukia kushiriki
 
Back
Top Bottom