Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuuu ila utapata tu.
Kumbuka next week hakuna epl
C.E.O atalifanyia kazi, tuanzishe group yetu ya whatsapp, maana sometimes kuna watu wanapiga mpaka ligi za vietnam na mongolia wakati wengine tunakoroma heheh
ivi humu tunafika 50 kweli?...sidhan! au kuna members wanachunguliaga tu...wanachukua mikeka, bas!! ila nahofia wengine labda simu hazisupport whatsapp.....
Ule mkeka wangu niliweka 150,000
uliweka game 1 tu?
hapana 7
baharia we muoga sana yani hadi barca umewapa double chance. Hahahah
hahahaa sio kwa mpunga nilioweka..
ila kweli mpunga mkubwa na return ni ngapi
Karibu sana, we ndio mtu wa kwanza nimesikia kabet na kushinda mara ya kwanza..
mkuu,mwnyw siku ya 1 nilibet na nikala 5000 na nikala 46000