Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Flash Disc
Toshiba Made in Philippines with 5 years warranty
4 gb 10000
8 gb 12000
16 gb 22000
32 gb 35000
Memory Card made in Taiwan
2 gb 7000
4 gb 10000
8 gb 12000
16 gb 22000
32 gb 32000
Niko Dar kama unataka ni pm/sms/call nikuletee mzigo
kokote ulipo Dar.
wa mikoani tunaweza kuangaliaa njia ya kukufikia
0714883861
NB hii ni bei ya rejareja rejareja maana kuna wateja
wangu wa jumla wamenipigia simu wakidhani
nimepandisha bei.
Kwa anaetaka za jumla pia anicheki tufanye biashara
 
flash disc
toshiba made in philippines with 5 years warranty
4 gb 10000
8 gb 12000
16 gb 22000
32 gb 35000
memory card made in taiwan
2 gb 7000
4 gb 10000
8 gb 12000
16 gb 22000
32 gb 32000
niko dar kama unataka ni pm/sms/call nikuletee mzigo
kokote ulipo dar.
Wa mikoani tunaweza kuangaliaa njia ya kukufikia
0714883861
nb hii ni bei ya rejareja rejareja maana kuna wateja
wangu wa jumla wamenipigia simu wakidhani
nimepandisha bei.
Kwa anaetaka za jumla pia anicheki tufanye biashara

mapembelooo!
 
Meridian wamenipa Bonus ya 8000, nikiweka hii pesa nikapiga pesa, ntaweza kuitoa?
 
kuverify account , unaverify mara 2,

mara ya kwanza wanakutumia code kwa box/sanduku la posta unalog in unaziingiza, yap walinitumia kwa box

mara ya pili unaverify kwa kuweka ur passport number, yap niliweka number za passport kwa account yangu

if not verified utaweza kucheza tu ila hutaweza withdrwal
Dah hyo ya code ya posta nilisha verify ila hiyo ya passport/national id/driver licence ndo ina nisumbua hadi leo maana sina hizi document ila ngoja nijitahidi kutafuta hata driver licence nami nianze kuwala
 
Jaman mathematician odd ikiwa na decmal mfn 0.95 hata ukizidisha na milion mia lazma ipungue kwann hawa iplay wanaweka hz odd za mapointpoint? Bora iwe 1.12 ukweka milion unapata lak moja na 20

nimekusoma mkuu.....ukiona odds zina sifuri point kitu...labda 0.50...hawajajumuisha dau lako..mfano odd ikiwa 0.50 ukaweka laki moja...unapata 50,000 ila kwenye retuns wanakurudishia dau lako (iyo kilo moja).....kiujumla inarudi 150,000.....so hamna tofauti na odd 1.50 ambayo,nayo italeta 150,000
 
Jamani leteni moja ya ushindi wa uhakika leo tutupie dau tusubiri.

CC: Biohazard, andybird314 na wadau wote wa kujilipua
 
Jamani leteni moja ya ushindi wa uhakika leo tutupie dau tusubiri.

CC: Biohazard, andybird314 na wadau wote wa kujilipua

mpe japan utapiga pesa, kapewa 1.60.... ukiweka 100,000 unapiga 160,000...... kwanza yuko nyumbani, pili katika viwango vya FIFA yuko juu zaidi ya Venezuela
 
Australia, sweden,england, ukraine ukiweka 2000 unapata 55000. Za chap chap wale wanao jilipua piga hapo hata laki afu ulale kesho ukiamka unakuta 2.7milion za upesiii najua utakenua meno humu kesho.
mlipukooooo
 
nimekusoma mkuu.....ukiona odds zina sifuri point kitu...labda 0.50...hawajajumuisha dau lako..mfano odd ikiwa 0.50 ukaweka laki moja...unapata 50,000 ila kwenye retuns wanakurudishia dau lako (iyo kilo moja).....kiujumla inarudi 150,000.....so hamna tofauti na odd 1.50 ambayo,nayo italeta 150,000
ahasnte mkuu kwa kunifungua nilijiua ni biashara ya kuuza gas kwenye rambo bado kidogo niikimbie hii kampuni ..ngoja nkomae na vdoladola
 
Mnisaidie jinsi ya kuweka na kutoa pesa ktk kampun ya meridian

Kuweka via M-PESA
*150*00#
-Lipa kwa m-pesa [bonyeza 4]
-Weka namba ya kampuni [bonyeza 4]
-170066 [Ingiza namba ya kampuni hiyo]
-Jina lako au ID akaunti namba [hakikisha jina lako kama ulivyo jaza Meridian au Waweza weka ID akaunti namba yako kutoka Meridian]

-Endelea hadi ushatuma mzingo wako na subiri ndani ya nusu saa mzingo kuingia.

NB: Hakikisha namba yako ya voda ulisajili au kuweka Meridian.

Kutoa via Meridian
-My account
-Deposit/Withdraw
-Withdraw
-Money amount [Jaza kiasi za unazo taka kutoa]
-Select payout [PAYOUT]
-Payout [Vodacom M-PESA]
-Withdraw funds.

Subiri masaa 24 wakutumie mzingo wako..

Pia hapa hakikisha namba yako ya voda ulisajili meridian
 
vp.PNG
nimekusoma mkuu.....ukiona odds zina sifuri point kitu...labda 0.50...hawajajumuisha dau lako..mfano odd ikiwa 0.50 ukaweka laki moja...unapata 50,000 ila kwenye retuns wanakurudishia dau lako (iyo kilo moja).....kiujumla inarudi 150,000.....so hamna tofauti na odd 1.50 ambayo,nayo italeta 150,000
mkuu nieleweshe hapo kwenye hizo double..treble..fourfold..fivefofd n.k yaan ukiweka mpunga humo maana yake nini?
 
Kuweka via M-PESA
*150*00#
-Lipa kwa m-pesa [bonyeza 4]
-Weka namba ya kampuni [bonyeza 4]
-170066 [Ingiza namba ya kampuni hiyo]
-Jina lako au ID akaunti namba [hakikisha jina lako kama ulivyo jaza Meridian au Waweza weka ID akaunti namba yako kutoka Meridian]

-Endelea hadi ushatuma mzingo wako na subiri ndani ya nusu saa mzingo kuingia.

NB: Hakikisha namba yako ya voda ulisajili au kuweka Meridian.

Kutoa via Meridian
-My account
-Deposit/Withdraw
-Withdraw
-Money amount [Jaza kiasi za unazo taka kutoa]
-Select payout [PAYOUT]
-Payout [Vodacom M-PESA]
-Withdraw funds.

Subiri masaa 24 wakutumie mzingo wako..

Pia hapa hakikisha namba yako ya voda ulisajili meridian

Hapo kwenye kuisajili namba yako meridian inakuaje mkuu
 
Wale mnaobetia meridian mnatumia hii app ya meridian bet au mnatumia browser ya kawaida? Mana hii app km inasumbua net
 
Leo kuna timu imepewa odd ya 26 cjui nijilipue mana bolu halitabirik asee
 
Hapo kwenye kuisajili namba yako meridian inakuaje mkuu

Kama ulisajili na namba tofauti waweza kuibadili

-My account
-Personal data
-Phone [Jaza namba yako ukianza na +2557...... au +2556.....]
-OK

Wale mnaobetia meridian mnatumia hii app ya meridian bet au mnatumia browser ya kawaida? Mana hii app km inasumbua net

Mie kwangu ipo sawa kwenye browser ya simu lakini app inasumbua sana kuliko kwenye browser mkuu
 
Back
Top Bottom