Nimechukua likizo isiyo na malipo. Leo mechi za basket zipo nyingi sana. Inatakiwa unaitarget moja, then unatia mzigo wa maana.
Ila too bad kwa sisi wa Online. Maana siku mbili hizi network chenga sana, nimeshindwa kuingia mzigoni sababu ya network. Week end nilihisi labda congestion, ila mpaka weekdays asubuhi, hapana inaonekana Mzungu kafanya analysis kagundua wanaocheza online wanamfilisi. Maana online ni rahisi kushinda.
So wadau wenzangu wa online hebu niambieni, na ninyi linawakumba hili la issue ya network kuwa slow kwa siku hizi sa katibuni.? Au ni kwangu tuu.? Maana leo nimeshindwa tandika mikeka sababu ni hiyo. Na leo kuna pesa njenje katika mechi za basketball kwa kucheza online.