Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu ni ule wa kibishi. Jilipue at your own risk. Hapo odds zinakuja 12 in total. Ukiamua kula cha haramu, chagua kile kilichonona. Bet at your own risk, Bet responsibly.

hela imechelewa kuingia leo, za leo zikawa zishaanza ikabidi niongeze wachawi wengine..
 
Toka jmosi nimepigwa vibaya mno mpaka jana pia, acha nipumue mpaka weekend
 
doooh salaleee hii wiki inaitwa BET kwa usalama.Uwiiiiiiiiiiiiiii ni majanga matupu.:Cry::disapointed::disapointed:
 
Leo anakufa Tottenham
Mi namuua kwenye mkeka wangu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hawa arsenal wanaudhi sana jana wameninyima ela na kufilisi mtaji...aaaargh
 
Hata mie namuua spurz maana notingham forest wana bonge la foward linaitwa Assambalonga
 
daaah nimejilipua tena na hela ya faida...najua ipo siku nitamlipua tu kama sio leo....liva jana kanikosesha mpunga 1.JPG
 
Nimechukua likizo isiyo na malipo. Leo mechi za basket zipo nyingi sana. Inatakiwa unaitarget moja, then unatia mzigo wa maana.

Ila too bad kwa sisi wa Online. Maana siku mbili hizi network chenga sana, nimeshindwa kuingia mzigoni sababu ya network. Week end nilihisi labda congestion, ila mpaka weekdays asubuhi, hapana inaonekana Mzungu kafanya analysis kagundua wanaocheza online wanamfilisi. Maana online ni rahisi kushinda.

So wadau wenzangu wa online hebu niambieni, na ninyi linawakumba hili la issue ya network kuwa slow kwa siku hizi sa katibuni.? Au ni kwangu tuu.? Maana leo nimeshindwa tandika mikeka sababu ni hiyo. Na leo kuna pesa njenje katika mechi za basketball kwa kucheza online.
 
Back
Top Bottom