Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hadi sasa timu rafiki wa mikeka ni maseile,sevila,rijeka,westham,roma,

Bila kuisahau Real, Chelsea hao mimi huwa natupia zote nilizo nazo.
Infact leo nataka niingize 200$ return kwenye mechi ya Man U kupitia over
 
Bet365. Kesho naanza na paddypower ili nile pounds
Haaaa mkuu unafurahisha. Mi hizi betting za mbele zinanishnda kwenye verification tu . Sa ivi nina mpango wa kutafuta driving licence kwanza niingie rasmi huko bet365 au bwin
 
Haaaa mkuu unafurahisha. Mi hizi betting za mbele zinanishnda kwenye verification tu . Sa ivi nina mpango wa kutafuta driving licence kwanza niingie rasmi huko bet365 au bwin

Kwa international nadhani wanataka passport ili wajue nchi gani maana kuna nchi kama USA hawaruhusu betting online.
Tumia passport yako.
 
Unatumia visa card

Mkuu hawa meridian washenzi sana, Yaani ishu yao ya kuslow network inakera. Mtu unakuta ushafanya timing vizuri ticket inachukua sekunde kumi nzima mpaka kuwa deposited. Ikikubali unakuta odds zishabadilika inabidi uanze tena kufuatilia. yaani wana mambo ya kingese sana hawa jamaa.

Mkuu vipi naweza tumia mastercard ya NBC yenye akaunti ya TZ shilingi kudeposit pesa bet 365.? kadi yangu tayari iko activated kwa mishe za online.

kitu kingine bet 365 wana mechi nyingi sana. kila siku, kila mchezo wanao. Ushindwe wewe tuu.
 
Jana at madrid&liv at least wamenifuta machozi !Niliyosema ya elf 10 nipate elf 20 leo.NIMERUDSHA YOTE 20 NIPATE 40 KESHO.
 
xyz123 NBC iko poa kuna mshikaji wangu anaitumia kudeposit hela Bet365. Nawapenda hawa sababu hawana magumashi na pia waweza toa hela ukiona mechi inaelekea kubaya una kesh out afu unaachana nayo. Mie nacheza sana online ndo iko poa na fast money
 
Last edited by a moderator:

So unaniambia kutumia Tsh akaunt haina maneno.?

Na mkuu inachukua muda gani pesa kudisplay katika akaunti ya Bet365 toka katika akaunti ya NBC.?
 
Last edited by a moderator:
Zifuatazo ni timu zakuweka kwenye red alert yaani kama unaweka mkeka usiziamini kabisa-Lille,Arsenal,Bastia,Norwich na leeds pia...kwahiyo hawa mabwana kabla hujaweka mzigo jiulize kama mara 200ivi.
ongezea kwenye bordeux, inter milan,
 
Kuna jamaa kapiga milion 4 na uchafu meridiani jana aliweka game 17 kwa buku.. Hadi meridian wamemweka ktk page yao ya fb

Duh huyo jamaa hatari sana aiseee. Ni zaidi ya noma

So unaniambia kutumia Tsh akaunt haina maneno.?

Na mkuu inachukua muda gani pesa kudisplay katika akaunti ya Bet365 toka katika akaunti ya NBC.?

Yaani ukibonyeza submit tu nayo ishafika.
 
Kuna jamaa kapiga milion 4 na uchafu meridiani jana aliweka game 17 kwa buku.. Hadi meridian wamemweka ktk page yao ya fb

Au uyu jamaa naye kabutua 500 kwa m2 chek me odds ya hatar
 
Attachments

  • 1413707556215.jpg
    1413707556215.jpg
    35.6 KB · Views: 129
Cash out betting inanihusu Leo, ntakufa Na man utd leo
 
Back
Top Bottom