Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Monaco, Valencia, PSG, Swansea Asanteni bado Roma tuuu nile 400$ kwa dollar 30
 
Mkuu upo unbeatable kwa these two weeks.

Mkuu nataka kesho niingize 1000$+
Kaa leo inanitosha aisee maana nilianza na 20$ jana usiku, leo nimehit 700+ ngoja nizidraw kabisa maana nahisi nitazitupa kwenye bet tena na nikaliwa.
Nimebakiza 140 ya Chelsea Kesho najua atanipa 300+ kwa hiyo 140
 
Mkuu nataka kesho niingize 1000$+
Kaa leo inanitosha aisee maana nilianza na 20$ jana usiku, leo nimehit 700+ ngoja nizidraw kabisa maana nahisi nitazitupa kwenye bet tena na nikaliwa.
Nimebakiza 140 ya Chelsea Kesho najua atanipa 300+ kwa hiyo 140

Mkuu, vipi pesa zilifika toka bet365.?
 
Kwa siku ya leo mikeka mingi imekufa baada ya Mancity kuleta upuuzi. Ila namshukuru Over 2.5 ilinipa hela.
Roma nae mmmmh bora ni cash out mapema.
Guys online pays alot meridian bye bye kabisa mtandao wenu uko slow kaa kobe
 
Mkuu, vipi pesa zilifika toka bet365.?

Hapana mkuu ila ngoja tuone maana natumia bank za kenya afu jumatatu nilipo toa kwao ilikuwa holiday so hadi jumatatu hivi ndo labda zinaweza ingia account yangu.
Ila nataka weka kadi ya Tz niwe naitumia kutoa hela
 
Inabidi kaulimbiu yetu ya betting iwe.

"Bet means bussines.!"
 
Inabidi kaulimbiu yetu ya betting iwe.

"Bet means bussines.!"

Betting is Business as usual because wenye kampuni za betting kwao ni business. Its an investment just like other investments
 
aha vp wana tawi bongo au unabet online

Hapana mkuu hii ni UK, sema online tafuta visa card na passport tu unasajili, unadeposit, unacheza ukitaka withdraw ndo hadi u request call back ya verification
 
Ahsante sana AYAAAAX na PORRRRRTO kwa kutoa 3+ kila mmoja!!!!!Nafunga mahesabu,biashara nyingine kesho
 
Dah! at last nimepata mtaji wa kuweka bet365

punter.png
 
leo
wolfsburg win
sparta praha win
lyon win
dinamo bucharest win
espanyol win
zenit st peters win
 
Back
Top Bottom