Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sahivi majira ya ulaya yamesha-change yamesogea lisaa 1 mbele. Kwahyo zile game zetu pendwa za uefa ni saa4:45. Zile za england za usiku ni ngoma 5
 
chelsea.PNG
 
Kwanini majira yamesonga mbele?

mambo ya jiography kidogo haya mkuu.. Lakini ni kila mwaka hutokea. Ishu imeanza jana si umeona game ya man na chelsea ilianza sa1 badala ya sa12 kama tulivozoea kwa game za jumapili.
 
Pole mkuu ila acha nikupongeze kwa kuzijua timu za ushindi maana umeingia mpka latin america uko kw Colo colo na ukarud izrael kwa telaviv

Jamaa anakuja kutuwekea alizokosa kosa! Aweke mkeka mapema ili tucopy kama vipi, au tushauriane sio kuringishiana jamani.

cc The_Emperor
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom