Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo namba imalizie niwapigie basi mkuu
0754 303 032(31)
Sahivi majira ya ulaya yamesha-change yamesogea lisaa 1 mbele. Kwahyo zile game zetu pendwa za uefa ni saa4:45. Zile za england za usiku ni ngoma 5
Kwanini majira yamesonga mbele?
Pole mkuu ila acha nikupongeze kwa kuzijua timu za ushindi maana umeingia mpka latin america uko kw Colo colo na ukarud izrael kwa telavivView attachment 196969pale ambapo timu unayoiamini inakuchania mkeka
Pole mkuu ila acha nikupongeze kwa kuzijua timu za ushindi maana umeingia mpka latin america uko kw Colo colo na ukarud izrael kwa telaviv
Leo nancy,rio ave,sao paul.
wazee wenzangu hii kitu hamkuiona?
Niliiona mkuu
hahah vipi ulifata nyuki?