Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani nisaidieni nimeweka pesa kwny akaunt ya meridian...kutoka m-pesa lkn sijaiona kwny akaunt ya meridian yani inaonesha bado haijaingia je nafanyaje
Inachukua one up to 2 hours kuonekana kwenye account yakojamani nisaidieni nimeweka pesa kwny akaunt ya meridian...kutoka m-pesa lkn sijaiona kwny akaunt ya meridian yani inaonesha bado haijaingia je nafanyaje
Inachukua one up to 2 hours kuonekana kwenye account yako
mkuu niliweka toka jana usiku mpk dakika hi chenga
Inamaana kwa case ya live hakuna cashout.?
Ambae hata kula leo baaasi na aache betting
Ambae hata kula leo baaasi na aache betting
Mkuu tayari akaunti ya bet365 kwa msaada wa NBC inasoma, Baadae nataka niscan my passport niwatumie credentials ili nianze kuitumbua bonus yangu. Haya twende kazi sasa, Lete mkeka na tips mbalimbali
View attachment 197359
Acha kututamanisha mkuu, tupia mikeka. Mimi nasoma upepo kwanza maana sijiwezi.
duu...mkeka wako ukoje leo
Bonus mbona unaipata hata bila passport scanning.
Nenda kwenye email yako utakuta wamekutumia email ina namba za offer, hizo ndio uziweke kwenye offer yako kupitia services.
Afu request call back ili wakupigie ukonfim details zako
Bonus mbona unaipata hata bila passport scanning.
Nenda kwenye email yako utakuta wamekutumia email ina namba za offer, hizo ndio uziweke kwenye offer yako kupitia services.
Afu request call back ili wakupigie ukonfim details zako
inachelewa sana mkuu...samtyms mpaka masaa mawilijaribu kuwapigia simu yao. Sometime wanazingua sana meridian
Kwa hiyo mkuu bila passport huwezi kufanya kitu, maana mimi nina driving licence ninataka kujua kama inahusika.
Ndio hutaweza, wanataka passporthapo na bonus tayari, Niliweka $45 nikarequest wakanipa. ila maelezo yanasema siwezi tumia bonus mpaka niwatumie ID.
Mwenye mkeka mechi za Leo pls auweke tuone