Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ngoja nitupe karata yangu kwa hawa jamaa nione..,,
 
Attachments

  • 1414926003543.jpg
    1414926003543.jpg
    85.7 KB · Views: 147
Wazee wenzangu leo sina mbwembwe, naweka mzigo kwenye corner over 11 game ya Man U na City.
 
Asante Totternham na Man city
Leo sijalala bure atleast naweza sema leo nimeona siku nzuri kwa kupata maana jana ilikuwa giza
 
Espanyol ni kenge mtu kabisa

Kiongozi hivi unapokuwa umemaliza ku-bet meridian ukakata tiketi kuna ile sehemu ya Multibet bado inanichanganya kwenye zile options mfano umetandaza mkeka wa mechi 5 unakuta wamekuandikia 1/5, 5combinations. 2/5, 10combinations. Unaweza kunifafanulia kidogo nikapa somo???
 
Hapo mimi niliwahi tumia ila ukichagua ni kuwa timu ya kwanza hadi ya tano lazima ishinde ikifungwa hata moja imekula kwako hata kama timu zote 32 zishinde
 
Back
Top Bottom