Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NILIWEKA 13 POSSIBLES za leo.....nkashauri wapunguze wawezavyo waweke mzigo mrefu... ..nilipunguza BINAFSI..... lakini PRESTON NDANI...hapa nasubiri switzland na england ...je nazo zingeniua...... HUU MKOSI WA HUU MSIMU HATARI....NIWEKE TIMU 4.... 6...8..10.... NAULIWA NA MMOJA DAILY..... MPAKA NAONA MHINDI KANROGA.....MAANA KANISOMESHA MASTERS OELF ECONOMICS....KANIPA VIWANJA VI3...NIMETOA MAHALI 2MILLS..... sasa nataraji kuoa JANUARY ...ndio napigwa za uso hatari....... yaaani.....

haya yote umeyafanya kwenye pesa ya beating mkuu?
 
YEAH MKUUU....mpaka nksema niende likizo mpaka january nilimaanisha.....betting iliniingizia 12MILLS........ NNA MIEZI SIJADEPOSIT ACCOUNT YANGU MERIDIAN..... NDIO MAANA NASHANGAA WATU WIKI PESA HAIJAINGIA..... MKURANGA KULE KISEMVULE...NNA KIWANJA....MWANZA NNAPOFANYIA KAZI ..NNA VIWANJA VIWILI.... NIMETOA...MAHALI.... 2MILLS.... NIMEJISOMESHA MASTERZ.... 6MILLS TWO YEARS....... SASA NATAKA KUJENGA NA KUOA NDIO NAPIGWA ZA USO HATARI..... MJOMBA.... BETTING NI PESA UKITULIA....... PITIA "POST NAZOWEKA ...AU TIMU NAZOWEKA...SIKU ZOTE NAULIWA NA TIMU MOJA"....kipindi cha nyuma nilikua sijui hii THREAD.......tangu niifahamu....nitoe opinion zangu...SIJAWAHI KULA......HUWEZI AMINI....
 
Duh, how long have you been in this business?
 
ALMOST.....3YEARS.......... I CAN SAY ....AM AN EXPERT...BUT AM NOT GOD..... FOR 3YEARZ GENERATING 12MILLS.... iS NOT AN EASY JOB..... ni kujitoa.... TIMU NNE au TATU ...point 4....NAWEKA 50000....NASUBIRI 200000...... ila tangu huu msimu uanze....nikapigwa sanaaaaaa...... sasa natafuta upya mtaji....ndio maana naweka timu nyingi .."WAGER"...AU DAU..... dogo.......
 
nilichojifunza ni kua unafanya analysis sana before ujaweka mkeka, naomba nisaidie atlist three sites unazotumia
 
Ndugu kumbe huyu mdosi una historia nae, umetoka nae mbali kweli yaani!
 
ALMOST.....3YEARS.......... I CAN SAY ....AM AN EXPERT...BUT AM NOT GOD..... FOR 3YEARZ GENERATING 12MILLS.... iS NOT AN EASY JOB..... ni kujitoa.... TIMU NNE au TATU ...point 4....NAWEKA 50000....NASUBIRI 200000...... ila tangu huu msimu uanze....nikapigwa sanaaaaaa...... sasa natafuta upya mtaji....ndio maana naweka timu nyingi .."WAGER"...AU DAU..... dogo.......

Mkuu nakupa big up, wewe kweli unamaanisha hii ni business!

Unatupa moyo wa kutokata tamaa, na pia unanifundisha kujiandaa kabla ya kuplace bet.

Thanks man.
 
ALMOST.....3YEARS.......... I CAN SAY ....AM AN EXPERT...BUT AM NOT GOD..... FOR 3YEARZ GENERATING 12MILLS.... iS NOT AN EASY JOB..... ni kujitoa.... TIMU NNE au TATU ...point 4....NAWEKA 50000....NASUBIRI 200000...... ila tangu huu msimu uanze....nikapigwa sanaaaaaa...... sasa natafuta upya mtaji....ndio maana naweka timu nyingi .."WAGER"...AU DAU..... dogo.......

Mzee mwenzangu Inzi kama upo mwanza bila shaka huwa tunapishana sana meridian pale Old tanesco
 
ALMOST.....3YEARS.......... I CAN SAY ....AM AN EXPERT...BUT AM NOT GOD..... FOR 3YEARZ GENERATING 12MILLS.... iS NOT AN EASY JOB..... ni kujitoa.... TIMU NNE au TATU ...point 4....NAWEKA 50000....NASUBIRI 200000...... ila tangu huu msimu uanze....nikapigwa sanaaaaaa...... sasa natafuta upya mtaji....ndio maana naweka timu nyingi .."WAGER"...AU DAU..... dogo.......

mkuu Mtoto wa nzi, pamoja na page zote hizi sijawahi kuweka comment yeyote hapa. Sijawahi kufanya betting hata siku moja. Wewe ndio utakae nishawishi. Mimi nina upepo mkuu. Kwa kutabiri matokeo! Aah mimi mkali.

Embu nisaidie. Kuna wakati nakuta mmeandika D,D,D Kibao, zina wakilisha nini? Wakati mwingine G,g+ na vitu kama hivyo. Ndio nini?
 
Last edited by a moderator:
nilichojifunza ni kua unafanya analysis sana before ujaweka mkeka, naomba nisaidie atlist three sites unazotumia

NILIWEKA HAPA....NTARUDIA TENA
statarea.com
zulubet.com
prosoccer.com
soccerfame.com
windrawwin.com
soccerpunter.com
forza.com
olbg.com
betting1×2.com
predictz.com
sofascore.com
.......aseeee hizi ndio bora kwa sasa duniani.....pitia wote...yule watae mpa wengi ushindi mkubwa mchukue.....BAADA YA MWEZI LETENI MAJIBU...... NIMETAJIRIKA KWA BETTING...... NB: BASKETBALL NI NGUMU INAHITAJI MOYO KULIKO SOKA.... ALL DA BEST BUDDY
 
mkuu Mtoto wa nzi, pamoja na page zote hizi sijawahi kuweka comment yeyote hapa. Sijawahi kufanya betting hata siku moja. Wewe ndio utakae nishawishi. Mimi nina upepo mkuu. Kwa kutabiri matokeo! Aah mimi mkali.

Embu nisaidie. Kuna wakati nakuta mmeandika D,D,D Kibao, zina wakilisha nini? Wakati mwingine G,g+ na vitu kama hivyo. Ndio nini?

D,D,D,....ni kama "exclamatiom"....yaaani DAH DAH DAH DAH.... G ni GOAL (ANY HALF)....G+ ni magoli.....
 
Last edited by a moderator:
itakua tunapishana sana pale kilingeni

inawezekana aseee..... Meridian iko hapo....ingawa wanataka kufungua matawi mapya........... Mi ni mtumishi wa umma..... Beeting imenilipa kuliko ajira yangu........ Ni kujipanga tu mazeeee....."uoga wako ndio umaskini wako"......
 
Mchek jamaa facebook anonymous fixed matches &predictions free.....na asante kwa tip hembu ngoja niulize....maana facebook wa uongo wapo wengi....ila huwa wanataka ulipe kwanza. Huyu tumelumbana sana had akantumia hii afu nlipe baadae

ungemlipa ungeumia.........!2-1 final results.......pole.
 
NILIWEKA HAPA....NTARUDIA TENA
statarea.com
zulubet.com
prosoccer.com
soccerfame.com
windrawwin.com
soccerpunter.com
forza.com
olbg.com
betting1×2.com
predictz.com
sofascore.com
.......aseeee hizi ndio bora kwa sasa duniani.....pitia wote...yule watae mpa wengi ushindi mkubwa mchukue.....BAADA YA MWEZI LETENI MAJIBU...... NIMETAJIRIKA KWA BETTING...... NB: BASKETBALL NI NGUMU INAHITAJI MOYO KULIKO SOKA.... ALL DA BEST BUDDY

www.whoscored.com ni wazuri pia , unaweza kuagalia utabiri wa matokea ya mwisho lakini chini kabisa kuna comment za wadau mbalimbali wa soka duniani kuhusu match husika. kwa hi yo coment hizo zinasaidia kufanya maamuzi ya kujilipua.
 
mkuu, hapa mtu unajiunga vp na hela unalipaje? embu nielekeze nami nikapige hela.
 
Wakuu leo nmechanganikiwa asee...nmepishana na hela hv hv pitien matokea wenyewe mjioneee
 
Attachments

  • 1416106807093.jpg
    1416106807093.jpg
    54.8 KB · Views: 156
Back
Top Bottom