Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu mleta mada ndo anahakisi akili matope za watanzania walio wengi. Kutwa kulalamikia wanasiasa wawaletee maisha bora wakati wao wanashinda vijiweni.

Mkuu hata hapa jamii forum ni sawa na kijiweni endapo utashinda kutwa nzima kwenye majukwaa ya siasa na MMU. Kwani story nyingi za hapa jf ndo hizohizo za kwenye vijiwe vya kahawa tofauti yake ni teknolojia tu ila maudhui ni yaleyale.

Heli wazee wa kubet wameamua kulitumia jukwaa hili kama njia ya kuonyeshana fursa. Nashukuru toka nimejiunga na hili jukwaa miezi 2 iliyopita nimeshapiga zaidi ya laki 9. Vp ndugu yangu unayeshinda MMU na Siasani mwaka wa 10 umetengeneza sh ngapi????? Au umeisubiri serikali ya chadema itakapotawala ikuletee masurufi ya pesa???? Pole sana.

hahahah umemaliza kila kitu hawezi kurudi tena
 
netherlands goal in both halves
cyprus win au handicap
avellino win
norway win
bulgaria win
WEKA HATA LAKI
 
Kila nikifungua JF, thread yenye viewers wengi ni hii "
[h=3]Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet)"[/h]na ninavyojua, the more people visit a thred ni kwasababu wako n interest hapo, ina maana Betting ina washabiki wengi kuliko siasa, hoja za nchi yetu, elimu nk? au ni ukilaza wa wabongo wanaapenda vya kuotea na kubet kuliko kujitafutia???
Utakua Lema wewe!
 
netherlands goal in both halves
cyprus win au handicap
avellino win
norway win
bulgaria win
WEKA HATA LAKI

Both halves inakuaje wazee ... halafu mbona odds Zao Meridia kidogo saana .

Naomba muongozo.
 
Kila nikifungua JF, thread yenye viewers wengi ni hii "
[h=3]Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet)"[/h]na ninavyojua, the more people visit a thred ni kwasababu wako n interest hapo, ina maana Betting ina washabiki wengi kuliko siasa, hoja za nchi yetu, elimu nk? au ni ukilaza wa wabongo wanaapenda vya kuotea na kubet kuliko kujitafutia???

Huyu kilaza sijui katokea wapi na siasa
Huku sio siasa ni kubet......
Siasa tutapiga kura uchaguzi
Sie kubet ni kazi
Naomba uheshimu hii kazi kuliko siasa
Siasa haitupi shibe
 
Huyu mleta mada ndo anahakisi akili matope za watanzania walio wengi. Kutwa kulalamikia wanasiasa wawaletee maisha bora wakati wao wanashinda vijiweni.

Mkuu hata hapa jamii forum ni sawa na kijiweni endapo utashinda kutwa nzima kwenye majukwaa ya siasa na MMU. Kwani story nyingi za hapa jf ndo hizohizo za kwenye vijiwe vya kahawa tofauti yake ni teknolojia tu ila maudhui ni yaleyale.

Heli wazee wa kubet wameamua kulitumia jukwaa hili kama njia ya kuonyeshana fursa. Nashukuru toka nimejiunga na hili jukwaa miezi 2 iliyopita nimeshapiga zaidi ya laki 9. Vp ndugu yangu unayeshinda MMU na Siasani mwaka wa 10 umetengeneza sh ngapi????? Au umeisubiri serikali ya chadema itakapotawala ikuletee masurufi ya pesa???? Pole sana.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😀😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Asikate n
Tamaa ya kupiga story za siasa
Na sijawahi sikia mwana siasa kapeleka mfuko wa sukari kg 1 kwa mfuasi wake
 
Achana na huyo mtu , tuendelee na discusion ya pesa .... huwenda jukwaa la Siasa limefungwa kwa leo ,kaamua kuja kutupoteza muda huku.
 
wazee..mimi kwa siku ya pili leo nimejaribu kucheza ICE HOCKEY naona nayo ni nzuri
YAANI NAKUA NA MKEKA WA :
2 WIN FOOTBALL
2 WIN ICE HOCKEY
2 WIN BASKETBALL..nimecheza jana maendeleo mazuri lakini preston nilimuamini sana akaniua,wengine walitick fresh
 
Unacheza inplay or ..

Mmh hiyo Ice Hockey hata sijui huwa ni dakika ngapi full time ... s tht 90' or .
 
Back
Top Bottom