asrams
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 4,798
- 2,652
Kwa wale wanaopenda ku bet magoli
ligi ya india inafaa sana kwa 0-2 nmefatatilia kwa mda sasa.
Ila na ww waweza fanya utafiti wako pia.
Mkuu business Mpaka India???? Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale wanaopenda ku bet magoli
ligi ya india inafaa sana kwa 0-2 nmefatatilia kwa mda sasa.
Ila na ww waweza fanya utafiti wako pia.
Mkuu business Mpaka India???? Dah
Mkuu business Mpaka India???? Dah
Hiii ni kwamba ume-bet ukiwa na akili timamu na unaelewa ulicho bet.... kwa hiyo ukikosea ni shauri lako NO ONE WILL BE RESPONSIBLE
So bet kwa umakini
Kuna sheria moja inasema if a bet may influence other winning ticket meridian reserves a power to void a bet......aseee hiii kwa tunaotoa tip humu inakuaje zikigongana ticket 5 ...zote malaki huko.....si wanaweza kuzi invalidate hawa jamaaa...... Sheria siko vizuri.....
je kama nacheza tiketi 2 zinazofanana yani natafuta milinoni 10, wao si mwisho milioni 5 kwa tiketi moja???!!!
Sio meridian tu.
Hata bet365,williaamhill,marathon,spkrtpesa,betathome zote hizo zina vigezo hivyo hivyo zaidi wao malipo yao ni makubwa mfano william wanaenda hadi 2mil pounds max
Leo kuna Pesa wazee wenzangu.
UHAKIKA.
Colombia
Mexico
Brazil
Argentina
Spain vs germany GG
Ina odds 15.891
Na game ya spain na germany IGG na IIGG ina matter sana.
Mapendekezo ,ushauri unahtajika hapo.
*Muhindi ni adui yetu sote.
mfano...nikatip kama leo FRANCE WIN 1.42 ITALY WIN 1.5 UKRAINE WIN 1.4 BRAZIL WIN 1.4 MEXICO WIN 1.67 TOTAL ODDS 6.97 ..... NKAWEKA 1000 MWINGINE 10000 MWINGINE 20000 .....na mkeka ukashinda... JE, itakuwa ni copied bet ambayo wanauwezo wakuifanya void.......
sure bet ya kesho sijui leo, 18.11.2014
Belarus vs Mexico , Mexico win odd 1.67 ,
weka hata milioni 2, Mexico lazima ashinde
England vipi hapo
Italy kapewa 1.5 odds
Hiyo ya Spain vs Germany unaweza kua na goal in both halves