Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

oy bro jinsi ya kujiunga iyo wiliamhill inakuaje kwenye kuweka ela na kutoa???
Ingia williamhill.com then open akaunti na ujaze details zako zote kwa usahihi(kama date of birth na jina kamili) ila baadae watahitaji copy ya kitambulisho kama passport au driving licence
Kuweka na kutoa pesa ni kupitia atm card zilizo kuwa enabled na huduma ya kufanya malipo online(mi natumia visa ya crdb)
 
Accumulator (1)
Ref: O/11974648
Under (206.5) @ 1.25
-

Toronto Raptors @ Philadelphia 76ers - Alternative Total Points 4
Under (193.5) @ 1.25
-

Indiana Pacers @ Miami Heat - Alternative Total Points 4
Under (206.5) @ 1.25
-

Los Angeles Lakers @ San Antonio Spurs - Alternative Total Points 4
Under (209.5) @ 1.28
-

New Orleans Pelicans @ Minnesota Timberwolves - Alternative Total Points 4
$ 10.00 Accumulator
$ 10.00
Estimated Returns:
$ 25.11

Aisee ndugu naomba mwuongozo jinsi ya kutumia hizi under maana sielewi kabisa nikifikia hapo. Kuna mdau aliweka hesabu zake hapa ila sikumuelewa fresh. Plz help
 
wakuu timu ikiisha poteza ya kwanza kabla zingne hazijacheza inaweka rang ya nyekundu au nyeupe.
 
Mkuu hiyo ndio bahati nasibu ambayo sitakaa kuja kuicheza... mara nyingi ni unaumia tu

mkuu magwiji wengi ninaozungumza nao huwa wanaindia sana hii fixture!

Ila wachache sana huwa wanashinda. hii kitu bhana ikitiki tu una wini maisha kimtindo..
 
LEO
Vitoria Giumares
Chelsea
Tottenham
Liverpool
Man city
Ivory coast
Cameroon
Watford
Dundee united
Celtic
Derby
Hamilton
Asteras tripol
Charloroi
Swansea
Southampton
Cardify


Humu leo nadhani ela inatoka wadau chambueni.....neno langu lisiwe sheria..
 
Kwanini Meridian wanafanya kwa makusudi kuzuia traffic kwenye mtandao wao?
Mbona willhill, bet365 wako fast sana
 
Jamani eeh mimi hapa ndo mwisho chamueni na muone zipi zafaa. Hizo ni tips toka 4wdl.
Kazi kwenu wakuu kabla ya saa nane nitakuja na nyingine
 

Attachments

  • 1422086703320.jpg
    1422086703320.jpg
    80.4 KB · Views: 162
  • 1422086726824.jpg
    1422086726824.jpg
    23 KB · Views: 129
  • 1422086740509.jpg
    1422086740509.jpg
    6.9 KB · Views: 125
  • 1422086753024.jpg
    1422086753024.jpg
    19.5 KB · Views: 120
  • 1422086776084.jpg
    1422086776084.jpg
    42.3 KB · Views: 118
  • 1422086794214.jpg
    1422086794214.jpg
    35 KB · Views: 120
  • 1422086815865.jpg
    1422086815865.jpg
    22.2 KB · Views: 122
  • 1422086834709.jpg
    1422086834709.jpg
    57.5 KB · Views: 121
Daaaah mkuu samahani sana.. ndio naona post yako sasa. Leo alfajiri pesa ilikuepo nyingi tu. Nitajitahidi za kesho tuwe pamoja mkuu
Haina shida kiongozi. Nasubiri utimize ahadi yako. :ranger::ranger:
 
Carpi
bologna
luton
wycombe
burton albion

....... Akiruka fensi mhindi ..nakubali kiroho safi
mkeka wangu sio bibila wala q'uran.....
 
Carpi
bologna
luton
wycombe
burton albion

....... Akiruka fensi mhindi ..nakubali kiroho safi
mkeka wangu sio bibila wala q'uran.....

Aminia!

Mi nawaangalia tu maana mtaji sina kwa sasa na niko likizo!
 
Back
Top Bottom