Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
Yap ngoja niweke picha ya huo mkeka wa mil 18
Aisee kumbe kweli, nilijua wale wamama wameongeza chumvi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap ngoja niweke picha ya huo mkeka wa mil 18
Yeah it is true mkuu kuna mshkaji wangu anayo picha ya huo mkeka uliotoa 18m. Jamaa alitupia buku 20 ukaleta mavuno Hayo. Ngoja nitamwambie anirushie niulete humu. So usikate tamaa one day utampiga muhindi
Aisee am impressed.. Mi sijawahi bet but nataka nijifunze nianze.. I hope ni naweza bet online au mpaka niende physically kununua ticket?
Online za bongo kama m~bet wana limit ya kupata mkwanja. Mwisho wao ni 3m. Hii ya kwenda physical ni poa maana utaweza ukapa hadi 40m ikiwa ni siku yako. Ila sijui online za njee. Na swala jingine kumbuka ukifanya online betting za nje ukapata hela nyingi ishu inakuja kuziingiza bongo kidogo hua inasumbua maana mfumo wetu wa kibenk unabana kidogo.
Thanks, nataka nianze na online betting za hapa Bongo kwanza maana ninasafiri muda mwingi so naona hii ni convinient kwangu, nikitulia nitaenda physically.. Kwa hiyo kama nikishinda Wananitumia hela kwa njia gani?
Thanks, nataka nianze na online betting za hapa Bongo kwanza maana ninasafiri muda mwingi so naona hii ni convinient kwangu, nikitulia nitaenda physically.. Kwa hiyo kama nikishinda Wananitumia hela kwa njia gani?
kama ni online tumia www.meridian.co.tz ina iption nyingi za kubet kuliko m-bet
Hivi kuna application ya meridian play store? Kama ipo naomba link yake mkuu niishushe
Hii vipi leo;
granada win
lyon win
juventus win
sampdoria win
ajax armsterdam win
Hii vipi leo;
granada win
lyon win
juventus win
sampdoria win
ajax armsterdam win
ingia playstore usearch utaipata
Shukran mkuu Nimeiona ila inaniambia haisapoti simu yangu
aina gani mana sku iz mbili tatu inazingua kwel
Huawei y300 mkuu..inaniambia not supported