Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu Mimi Mdau Mpya kesho nataka kuweka hivi
Stoke City Win
Getafe Win
Benifika Win
Tunisia Win
Zambia Draw kipindi cha kwanza
Ipswitch Win japo anacheza na Cardiff
vipi hapo sipigi hela naweka buku 4
 
Kaka hawa m bet yaani washanichukulia pesa kibao sana na mimi kuanzia sasa hivi nabet kwa akili sana nimechoka m
Mkuu umenifurahisha sana.hongera ungetupia 10 hapo daah!! Mpangilio mzuri ulio nao naku inbox soon
 
Wadau tangu mwaka 2015 uanze ndo nimewin jana manake dah mpaka nilitaka kukata tamaa niliweka kwa M-Bet - Tanzania Sportsbook

Lyon win 1.30
Juventus win 1.12
Sporting cp win 1.15
Espanyol win 1.67
Gent win 1.30
St.Etienne Lose 2.02
Valencia win 2.15
dau 1500
win 23,681.0049
Sio mbaya.

ungeongezea 0 kwenye stake muhind angepiga yowee kwa jina lako
 
Benfica
Rochdale
Brazil under 20
Tunisia
Argentina under 20
Anger
Atromitos asinon
Beskitas
Napoli
Getafe
Jaman toen best five hapo niweke mzigo
 
Huku bongo sky bet ikoje jamani maana iplay8casino wako poa kweli tujuzane na skybet jamani
 
Mi mgeni hapa jukwaani. Naanza hivi
Stock win
Benifica win
Napoli

Kesho mnipe pole au pongezi wadau
 
Huku bongo sky bet ikoje jamani maana iplay8casino wako poa kweli tujuzane na skybet jamani

Sky bet ni kwa ajili ya watu wa uk na baadhi ya nchi kama ireland na norway tu . Lakini unaweza ukajiunga na site kama bet365 ,betfair,williamhill,bet888 hizi zina kubali hata wateja wa huku kwetu africa
 
Leo Najaribu handball nione ipoje nayo.


Germany @ 1.40
Germany v Egypt : Match Betting
Sweden @ 1.53
Poland v Sweden : Match Betting
Stake: $ 1.00
Estimated Return: $ 2.14
 
kuna mtu katumia meridian week hii,na kupitia browser IPI?


tumia laptop au desktop kama ni simu tumia window phone mi nmejarb huawei 100,tecno,idios zmezingua zote ila nkajarbu nokia lumia 305 ikakubali ingawa nkilog in ikawa inaniambia your countr has been blocked kwahiyo nikaishia apo tafuta window phone ujarbu uone
 
Back
Top Bottom