Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bye bye betting.
Baada ya kunipiga sana sasa nimeamua mwenyewe kupotea kabisa na sibet tena
Wana jukwaa nawatakia mema
makamanda wanaonekana kukata tamaa.
Bye bye betting.
Baada ya kunipiga sana sasa nimeamua mwenyewe kupotea kabisa na sibet tena
Wana jukwaa nawatakia mema
Tajiri anatafuta odd 2 anaweka milioni ili apate milioni 2
MaskiMaskini anaweka odd400 kwa buku 5 ili apate milioni 2.
Tajiri ana uhakika wa kula kuliko maskini!!
Tukibet kitajiri,tutatoboa,ila kimaskini tutapigwa tu.
Nami nasema tupigwe tu, hadi tukome,maana hakuna jinsi.
Hivi odds 2 au 1hazipatikani?
Barca,bayen,Madrid na juve mbona hawapotezi game kirahisi?
Why not go to them?
Odds nyingi ni majanga!!
Tupigwe tu hakuna jinsi
Huyo Lyon yuko France na huko ni draw au kupigwa.Leo mm nacheza hiv..Barcelona, Lyon,juventus,Roma..
Leo mm nacheza hiv..Barcelona, Lyon,juventus,Roma..
Wazo imara sana hili.
Mimi huwa naweka mpaka timu 17 natafuta odds 8000 mpaka 9000! hahahaaa!
Mkuu nabadilika sasa angalau...