Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ado Den Win
Malaga Win
Athretic Win
Bilbao Win
Pacos De Ferreire Win
Spotin Win

Apo Naje Wakuu Bwana Mhindi Anapona?
 
Bye bye betting.
Baada ya kunipiga sana sasa nimeamua mwenyewe kupotea kabisa na sibet tena
Wana jukwaa nawatakia mema
 
Wazee hivi mmesoma Meridian leo na jana? Maana website iko nyuma kama masaa 6 hivi.

Huwezi kucheza live.
 
Bye bye betting.
Baada ya kunipiga sana sasa nimeamua mwenyewe kupotea kabisa na sibet tena
Wana jukwaa nawatakia mema

Siamini hadi ww mkuu andybird unataka ukimbie kilinge ? kweli muhindi ametuzid nguvu
 
Tajiri anatafuta odd 2 anaweka milioni ili apate milioni 2

MaskiMaskini anaweka odd400 kwa buku 5 ili apate milioni 2.

Tajiri ana uhakika wa kula kuliko maskini!!

Tukibet kitajiri,tutatoboa,ila kimaskini tutapigwa tu.

Nami nasema tupigwe tu, hadi tukome,maana hakuna jinsi.

Hivi odds 2 au 1hazipatikani?

Barca,bayen,Madrid na juve mbona hawapotezi game kirahisi?

Why not go to them?

Odds nyingi ni majanga!!

Tupigwe tu hakuna jinsi
 
Tusikate tamaa wakuu...betting n kama upepo tu kuna kupata na kukosa..ila ninavyoamin mm mtu ukiweka timu chache minimum 4 or 3 za uhakika na ukaweka stake kubwa...utaenjoy sana mchezo wa betting..of course hutakula kila siku ila possibility ya kuwin Mara kwa Mara inakuwa kubwa...mm nashaur watu tusikate tamaa ila watu wabadili mfumo wa kujaza timu nane au Tisa kwa lengo la kupiga hela nying,na waanze kucheza mech chache ila stake iwe inaridhisha kidogo...
 
Tajiri anatafuta odd 2 anaweka milioni ili apate milioni 2

MaskiMaskini anaweka odd400 kwa buku 5 ili apate milioni 2.

Tajiri ana uhakika wa kula kuliko maskini!!

Tukibet kitajiri,tutatoboa,ila kimaskini tutapigwa tu.

Nami nasema tupigwe tu, hadi tukome,maana hakuna jinsi.

Hivi odds 2 au 1hazipatikani?

Barca,bayen,Madrid na juve mbona hawapotezi game kirahisi?

Why not go to them?

Odds nyingi ni majanga!!

Tupigwe tu hakuna jinsi

Wazo imara sana hili.

Mimi huwa naweka mpaka timu 17 natafuta odds 8000 mpaka 9000! hahahaaa!

Mkuu nabadilika sasa angalau...
 
Hamna bana nimeafikiri nimeona nirudi tu.
Mechi mbili mwisho kuanzia leo mambo ya kuweka mkeka hapana ni kujiua.
 
Back
Top Bottom