Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

alldbest
Chagua 2-3 odds
2tkts
 
Attachments

  • 1705914197633.jpg
    1705914197633.jpg
    70.9 KB · Views: 4
Gundu!?? .. sijawahi kuamini katika Voodoo... Gundu equals Voodoo.... Basi sawa ..nimetoka tafiti unanijibu Kwa Voodoo...!!?...How do I do !! ...on my research!!...

Odds 8 kila siku .. ?? Nipo paleeee .... Tumecheza sana roll-over.... Tena zaods 1.5-2.... Kwa buku ukicheza roll-over za odds 8 unazosema siku 5 tu we ni milionea
Day1 1000 * 8odds= 8000
Day2 8000*8odds = 64,000
Day3 64,000*8odds = 512,000
Day4 512,000*8odds = 4,096,000
Day5 4,096,000*8odds = 32,768,000

FANYA hivyo.... Si unazo za uhakika kiongozi... FANYA hivyo siku 5 tu ..
usichukue faida yote ukatumbukiza huko.....postponed match?
 
Wakuu huyu JUJU PUNTER kule X mbona anazipiga sana hizi Nigerian nairas!!!?? Halafu stake zake ni 5M na kuendelea. Duuh! Huyu si anatajirika na betting wakuu au ndio upepo[emoji23][emoji23]

Wengi wao ni Influencers wa Hizo Kampuni za Kubet, So wanatengenezewa Kila Kitu.

Usijichanganye, Akili za Kuambiwa Changanya na zako
 
Gundu!?? .. sijawahi kuamini katika Voodoo... Gundu equals Voodoo.... Basi sawa ..nimetoka tafiti unanijibu Kwa Voodoo...!!?...How do I do !! ...on my research!!...

Odds 8 kila siku .. ?? Nipo paleeee .... Tumecheza sana roll-over.... Tena zaods 1.5-2.... Kwa buku ukicheza roll-over za odds 8 unazosema siku 5 tu we ni milionea
Day1 1000 * 8odds= 8000
Day2 8000*8odds = 64,000
Day3 64,000*8odds = 512,000
Day4 512,000*8odds = 4,096,000
Day5 4,096,000*8odds = 32,768,000

FANYA hivyo.... Si unazo za uhakika kiongozi... FANYA hivyo siku 5 tu ..

Labda ucheze week week ila sio siku hutoboi

IMG_1676.jpg
 
Na Kwenye Betting Lazima uwe na Strategies na Ustick strategies zako

Ukiwa Emotional Kwenye Betting utaliwa sanaa. Angalia hata App nyingi za Ubashiri hawabashiri zaidi ya Timu 9, Nyingi wanaenda Timu 4 au 5

Sisi Maskini ndio tunaweka Timu nyingi tukiamini tutakombolewa lakini ni ngumu kushinda Timu 20/30/40 tutajilaumu tuu kila siku Timu 1 imechana mkeka [emoji28] kila Siku

Ukiwa na MTAJI ukawa unatafuta Odds 4-6 kwa siku una stake elfu 20 unaweza kukuza Mtaji wako wa kubet.

Nitabet timu nyingi lakini pembeni lazima niwe na Mkeka wa Timu 3-4 za uhakika kunipa kile nilicho panga.

Tuwe Makini tuu na Tusiwe wa Kufuata Mkumbo. Nawafahamu Punters wengi humu wanashadadia ma train lakini pembeni wana Odds 10 wakishinda hizo ndio huja kusema BOOM
 
Gundu!?? .. sijawahi kuamini katika Voodoo... Gundu equals Voodoo.... Basi sawa ..nimetoka tafiti unanijibu Kwa Voodoo...!!?...How do I do !! ...on my research!!...

Odds 8 kila siku .. ?? Nipo paleeee .... Tumecheza sana roll-over.... Tena zaods 1.5-2.... Kwa buku ukicheza roll-over za odds 8 unazosema siku 5 tu we ni milionea
Day1 1000 * 8odds= 8000
Day2 8000*8odds = 64,000
Day3 64,000*8odds = 512,000
Day4 512,000*8odds = 4,096,000
Day5 4,096,000*8odds = 32,768,000

FANYA hivyo.... Si unazo za uhakika kiongozi... FANYA hivyo siku 5 tu ..

Roll-Over Betting ina Faida na Hasara zake Pia.

Hasara yake ni kuwa kile chote ulichoshinda unakiweka tena. So siku ukipoteza unakuwa umepoteza chote, Hata Mtaji ulio kuwa nao wa Tsh 1000 kuanza upya unatakiwa kuwa na Tsh 1000 tena.

Roll-Over Betting inahitaji Umakini wa Hali ya Juu, nidhamu, na Kufanya machagui yaliyo sahihi hasa Timu bora Nyingi zinapocheza kwa Wakati mmoja.
 
wakuu hebu tuwe tunamuomba Mungu sana before betting

imagine mmoja wetu akiwa amekasirikiwa na sir God nae akacheza betts zetu tunakosa ote[emoji54][emoji24]

imagine tips zangu private nisizoshare humu eti 95% hua won, but chache nazoshare humu ati nakuta mshtuko[emoji24], kumbe that day unapata kuna mzee amejosana na sir God then nae anacopy slip tunaenda nae[emoji24]

well msijari guys nmesema tu[emoji23], sio kweli bana, kumiss ni kawaida msjari, huezi kula everyday[emoji23]
 
Ado den hag ✅ WIN
FSCB✅ WIN
Atletico✅ WIN
Famagusta over 2.5!✅
Hapoel ni Ramat over 2.5✅
Brighton over 2.5✅
 
Back
Top Bottom