Wadau Kama kuna mtu , anaye amini trades .
Basii aje tuongee ,Nina uhitaji na Lakimoja ama laki na elfu hamsini tu. Aje awekeze kwangu, Katika ( sporty hero).
Kuna mdau mja nilimuona , akibet Kwa laki mbili Tatu, katika Mpira [emoji4] na akawa anapoteza . (Kiasi kwamba alisema , yeye awekinmikeka Kwa shida Ila anajifurahisha) ! Yes
Namuomba aje tuongee , Mimi Ni muaminifu Sana .
Nimetumia zaidi ya muda wangu,akili na marifa yangu. Na kufanya majaribio kadhaa .
Nimethibisha kwamba inawezekana. Very simple trick ,and Iko very clear.
Tatizo nililonalo ni mtaji,
Shlng mia , miambili inanipa hela ya sukari na maandazi .
Nahitaji mtaji wa laki ama laki na nusu .
#Naomba mwenye huo uwezo ajee .inbox
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app