Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau Kama kuna mtu , anaye amini trades .
Basii aje tuongee ,Nina uhitaji na Lakimoja ama laki na elfu hamsini tu. Aje awekeze kwangu, Katika ( sporty hero).
Kuna mdau mja nilimuona , akibet Kwa laki mbili Tatu, katika Mpira [emoji4] na akawa anapoteza . (Kiasi kwamba alisema , yeye awekinmikeka Kwa shida Ila anajifurahisha) ! Yes
Namuomba aje tuongee , Mimi Ni muaminifu Sana .
Nimetumia zaidi ya muda wangu,akili na marifa yangu. Na kufanya majaribio kadhaa .
Nimethibisha kwamba inawezekana. Very simple trick ,and Iko very clear.
Tatizo nililonalo ni mtaji,
Shlng mia , miambili inanipa hela ya sukari na maandazi .
Nahitaji mtaji wa laki ama laki na nusu .

#Naomba mwenye huo uwezo ajee .inbox

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wapenzi wa kubeti nafahamu ya kuwa mnajua hii kitu inaitwa both team to score.

Ni rahisi Sana kuibeti na Kushinda ni nje nje lakini pia kuloose ni nje nje je nawezaje pata timu angalau mbili ambazo nikidumbukiza Elfu 10000 natoka na Elfu 30000 Kila siku.

Wenye matusi mnakaribishwa.
 
We ni mwehu
 
Kwenye kujisajili mbona nchi ya tz haipo kwenye selection
Tumia link kwa kubonyeza maandishi ya blue. Kuna neno PARIPESA limeandikwa kwa herufi kubwa Bonyeza, itafunguka ukurasa kama huu kwenye picha. Sehemu ya Phone number andika namba yako ya simu simu yako isianze na sifuri. Utaweka password na sehemu ya promo code weka neno hili TIPS2424
Screenshot_20240127-062900_1.jpg
 
Kwa mtindi huu , jamaa aweke code hafu uiweke kama ilivyo, wakati ni promoter wa kampuni ya kubeti tuwe makini na code wanazoleta wadau
Mkuu siyo lazima afuate code yangu. Anaweza kujisajili tu lakini mkeka akatengeneza wa kwake. Pia, anaweza kutumia mkeka huu huu wa kwangu na kuedit baadhi ya mechi kulingana na anavyo ona inafaa.

Siyo lazima afuate mkeka wangu. Anaweza kuedit au kuweka mkeka wake. Jambo la msingi ni apate bonus ya kubetia kila Jumamosi kama leo hii.
 
Betting is spam kwenye hili kundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaaah Win nadra
Umeona ilitakiwa tuwe tunacheka mara kwa mara, lakini Kila siku mara moja mara ,mbili nimekosea , aisee , me nahitaji kusikia win tu, mara wengine wanashinda sisi wengine tusipo weka code , na izo code atuzioni.
 
Wazee wazee hapa nilipo kwenye account yangu ya Nina 2500, na mfukoni Nina 2200, nahitaji code ya maana nipigie ela ya matumizi siku izo tatu nne zijazo
 
Betting is spam kwenye hili kundi😂😂😂😂😂kaaah Win nadra
Mtu anaweka over 1.5 au over 2.5 karibu mechi 20 au over 1.5 first half mechi 30 mpaka 50 kwa pamoja 😂😂 hivi kweli kabisa halafu mkeka utick ✅

Kusema kweli matreni au kuweka option zenye odd kubwa kwa mechi nyingi kwa pamoja....hii lazima itakua ngumu humu kushinda au kwa mwaka mara Moja bcoz tunacheza ngumu kumeza 😂

Lakin simaanishi ukicheza odd ndogo au mechi chache ndo guarantee ushindi...hapana but at least tutashuhudia vi ushindi humu
 
Wadau Kama kuna mtu , anaye amini trades .
Basii aje tuongee ,Nina uhitaji na Lakimoja ama laki na elfu hamsini tu. Aje awekeze kwangu, Katika ( sporty hero).
Kuna mdau mja nilimuona , akibet Kwa laki mbili Tatu, katika Mpira [emoji4] na akawa anapoteza . (Kiasi kwamba alisema , yeye awekinmikeka Kwa shida Ila anajifurahisha) ! Yes
Namuomba aje tuongee , Mimi Ni muaminifu Sana .
Nimetumia zaidi ya muda wangu,akili na marifa yangu. Na kufanya majaribio kadhaa .
Nimethibisha kwamba inawezekana. Very simple trick ,and Iko very clear.
Tatizo nililonalo ni mtaji,
Shlng mia , miambili inanipa hela ya sukari na maandazi .
Nahitaji mtaji wa laki ama laki na nusu .

#Naomba mwenye huo uwezo ajee .inbox

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
trading nayo ni ngumu kama ilivyo betting tu. trading ingekuwa rahisi kama unavyosema, usingekuja kulialia, ungekuza mtaji wako chap kwa hizo miamia halafu ungeanza kupiga hela.
 
Wazee wazee hapa nilipo kwenye account yangu ya Nina 2500, na mfukoni Nina 2200, nahitaji code ya maana nipigie ela ya matumizi siku izo tatu nne zijazo
We jamaa kila siku unaomba code za uhakika. Umiza umiza kichwa, hamna mwenye code ya uhakika. Most of us kila siku tunatandikwa na Kanji, tunaugulia kimya kimya
 
trading nayo ni ngumu kama ilivyo betting tu. trading ingekuwa rahisi kama unavyosema, usingekuja kulialia, ungekuza mtaji wako chap kwa hizo miamia halafu ungeanza kupiga hela.
Mkuu upo sahihi . Ila kiwango Cha mia mia ni kidogo Sana. Kwa namna zile odds zinavyo panda nakushuka.Ni ukata tu unaopita nw unanisumbua [emoji4]. Ila kupitia hizo mia, nimejua namna ya kutrade zile odds hasa boom 50+'100+ '300+ odds.
Narudia mia nitacheza ,Ila sababu ni ukata unasumbua. Mia mia Ninapata hela ya vibarua wa saidia fundi , Ukiweka na majukumu ndio kabisa [emoji16].
At least stake kuanzia 1000. Kwa odds ya 50+,70+ , 100+ inamaanisha kitu . Na ndio maaana nahitaji Mtu ambaye , tutaaminiana. 100K ama 150K. Ni kianzio sahihi .
(Mkuu hizo mia mia ndio zimenipa muda wa kuifahamu vizuri Sana, Usidharau.)

#Sitakua mchoyo wa maarifa Kama kunamtu anahitaji , amabye yupo serious .Na ambaye Mara kadhaa amejaribu bila kupata boom. Aje inbox tuongee.

Share code acha uongo hakuna uhakika kwenye kubet mzee. Huko inbox unataka kutapeli watu tu na hapa humpati mtu.
 
ndiye mtoa rikizi, by the way betting sio uchawi au ushirikina mpaka ufikie kusema namshirikisha, na pia matokeo yakitu chochote kile yawe mabaya au mazuri kwetu tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu,hata hao wanaoshinda jackpot wanapewa na Mwenyezi Mungu...
Unajua nn ndg!!!
Bora umeongea kwa ufupi na ujumbe mpana!!!

Unajua sisi binadamu ni wanafki sana,,, tunakimbia amri kumi na makatazo ya mababu, tunapanua vinywa na betting kuwa haipaswi kumshirikisha Mwenyezi Mungu ili hali tunakimbizana na makondomu, fulu mauzinzi tena tunakomaa na wake za watu na videnti na unakuta ghalama tunazotumia kwenye ngono haziendani na maisha ya kwenye familia zetu!!

Huwa naangalia na kujisemea sisi wanadamu ni wanafki sana!!

Bora umeongea kwa sauti fupi yenye nukta
 
Mkuu upo sahihi . Ila kiwango Cha mia mia ni kidogo Sana. Kwa namna zile odds zinavyo panda nakushuka.Ni ukata tu unaopita nw unanisumbua [emoji4]. Ila kupitia hizo mia, nimejua namna ya kutrade zile odds hasa boom 50+'100+ '300+ odds.
Narudia mia nitacheza ,Ila sababu ni ukata unasumbua. Mia mia Ninapata hela ya vibarua wa saidia fundi , Ukiweka na majukumu ndio kabisa [emoji16].
At least stake kuanzia 1000. Kwa odds ya 50+,70+ , 100+ inamaanisha kitu . Na ndio maaana nahitaji Mtu ambaye , tutaaminiana. 100K ama 150K. Ni kianzio sahihi .
(Mkuu hizo mia mia ndio zimenipa muda wa kuifahamu vizuri Sana, Usidharau.)

#Sitakua mchoyo wa maarifa Kama kunamtu anahitaji , amabye yupo serious .Na ambaye Mara kadhaa amejaribu bila kupata boom. Aje inbox tuongee.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
😂 Humu wenzako tuna share bure acha utapeli wewe. Jana wengine tulimpa man city apate goli mbili single bet na mkeka ukachanika

Nenda facebook utawapata
 
Back
Top Bottom