Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1DFC8D9
Screenshot_20240131-113710.png
 
Achana nae
Huyo jamaa ni psycho
Huwa anaona anachosema yeye kinatakiwa kila mtu afuate

Kama anachukizwa na unachopost akuweke kwenye ignore list
Wako very desperate sana Mkuu , kiasi kwamba wanazusha kuwa mimi ni tapeli kana kwamba kuna mtu nimemtapeli. Watu wengi wamejisajili kwa kupitia link yangu na hawajatapeliwa ila wao wa nahisi tu.
 
Mkuu hakuna sehemu ambayo huwa naficha Tips. Kila nikipost kitu lazima naweka na Booking Code ambayo ndiyo imebeba tips. Sasa utapeli hapo uko wapi? Sijawahi kupost chochote bila kuweka Tips. Huwa naweka tips na idadi ya odds. Ni wapi ambapo nilificha tips? Halafu mbona tips ninazo weka zipo zinawin na zipo zinazo lose kama wote wanavyo post hapa?
Yaan kuweka code badala ya tips ndio sio hiyo, sababu hapo ili mtu azione ni mpaka afungue link. Na hivi umeweka promo code yako ni kama vile lengo ni watu wajiunge zaidi kuliko kufaidika na tips.

We Kwenye mkeka wako uki screenshot team ukaweka hapa badala ya link yenye promo code yako nadhan ndio utaeleweka zaid.
 
Mkuu niambie nimekutapeli nini mimi? Pia kama kuna yeyote nimemtapeli iwe ni hapa au nje ya hapa aseme. Nina page X na telegram channel kuna watu wamejoin, kama kuna yeyote aliye kwenye channel ya telegram na X amewahi kutumiwa ujumbe wowote na mimi aseme. Pia, ni watu wengi wamejisajili na kujiunga kupitia promo code ninayo weka, lakini hakuna hata mmoja ameombwa chochote au hata kuwasiliana na mimi.
Acha ujinga, ushaambiwa lengo la huu uzi sio hizo mambo zako
Kama vipi si uanzishe uzi wako kwa ajili ya hayo matangazo yako ya kishamba
 
Yaan kuweka code badala ya tips ndio sio hiyo, sababu hapo ili mtu azione ni mpaka afungue link. Na hivi umeweka promo code yako ni kama vile lengo ni watu wajiunge zaidi kuliko kufaidika na tips.

We Kwenye mkeka wako uki screenshot team ukaweka hapa badala ya link yenye promo code yako nadhan ndio utaeleweka zaid.
Siyo kweli mkuu. Unajua kazi ya booking code ni nini? Hivi kama nimeweka mechi 10 au 20 kwenye mkeka nitascreenshot na kuweka hapa? Wakati nikiweka code ni rahisi kwa mtu kuchukua na kuload, labda kama mtu hajui kuload code
 
Acha ujinga, ushaambiwa lengo la huu uzi sio hizo mambo zako
Kama vipi si uanzishe uzi wako kwa ajili ya hayo matangazo yako ya kishamba
Mkuu acha hasira, peleka mawazo yako kwenye kuwin mkeka. Na hivi karibuni tutashinda hela kutoka kwa Kanji. Hivyo hii mada haina umuhimu wowote, tufocus kwenye kuwin. Haijalishi umewin kwa kupitia Booking Code yangu au ulijisajili kwa PROMO CODE yangu
 
Back
Top Bottom