JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
1DFC8D9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Naona yuko busy kunishambulia tu mimi kisa naweka Promocode kwenye Mikeka ninayo tumaHivi JITU BANDIA huwa anapost win tickets? 😂😂
Achana nae😂😂😂Naona yuko busy kunishambulia tu mimi kisa naweka Promocode kwenye Mikeka ninayo tuma
Wako very desperate sana Mkuu , kiasi kwamba wanazusha kuwa mimi ni tapeli kana kwamba kuna mtu nimemtapeli. Watu wengi wamejisajili kwa kupitia link yangu na hawajatapeliwa ila wao wa nahisi tu.Achana nae
Huyo jamaa ni psycho
Huwa anaona anachosema yeye kinatakiwa kila mtu afuate
Kama anachukizwa na unachopost akuweke kwenye ignore list
Acha kubishana bishanaRejea post zangu zote ambazo nimewahi kuweka hapa zina tips pamoja na link za kwenda kubetia kwenye kampuni husika. Lazima booking Code naweka na link ya kujisajili.
[emoji23] tumuulize Simba mpoleHivi JITU BANDIA huwa anapost win tickets? [emoji23][emoji23]
Mkuu fanya hivi wewe Ignore tu mbona ni rahisi tu. Bonyeza button ya Ignore na hutoona tena post yangu. Why the few of you are crying so much?Acha kubishana bishana
Hatutaki ma promo code yako
Peleka facebook
Over
Jiulize why always youMkuu fanya hivi wewe Ignore tu mbona ni rahisi tu. Bonyeza button ya Ignore na hutoona tena post yangu. Why the few of you are crying so much?
Huu mkeka mbona tayari ushachanika!!3 odds [emoji4]View attachment 2889831
Yaan kuweka code badala ya tips ndio sio hiyo, sababu hapo ili mtu azione ni mpaka afungue link. Na hivi umeweka promo code yako ni kama vile lengo ni watu wajiunge zaidi kuliko kufaidika na tips.Mkuu hakuna sehemu ambayo huwa naficha Tips. Kila nikipost kitu lazima naweka na Booking Code ambayo ndiyo imebeba tips. Sasa utapeli hapo uko wapi? Sijawahi kupost chochote bila kuweka Tips. Huwa naweka tips na idadi ya odds. Ni wapi ambapo nilificha tips? Halafu mbona tips ninazo weka zipo zinawin na zipo zinazo lose kama wote wanavyo post hapa?
Always me doing what? I am posting betting tips on this thread because the thread is about betting. I post Booking Codes also which if one wants to stake can stake.Jiulize why always you
Tayari nimemfanyia kitu nisichokipenda kabisa, nimemuignore kayombo Kayombo Tips .Sielewi kwanini mnamlalamikia huyu jamaa, bonyeza Id yake Kisha mu ignore... Hutokaa uone post yake tena, as simple as that
Acha ujinga, ushaambiwa lengo la huu uzi sio hizo mambo zakoMkuu niambie nimekutapeli nini mimi? Pia kama kuna yeyote nimemtapeli iwe ni hapa au nje ya hapa aseme. Nina page X na telegram channel kuna watu wamejoin, kama kuna yeyote aliye kwenye channel ya telegram na X amewahi kutumiwa ujumbe wowote na mimi aseme. Pia, ni watu wengi wamejisajili na kujiunga kupitia promo code ninayo weka, lakini hakuna hata mmoja ameombwa chochote au hata kuwasiliana na mimi.
Siyo kweli mkuu. Unajua kazi ya booking code ni nini? Hivi kama nimeweka mechi 10 au 20 kwenye mkeka nitascreenshot na kuweka hapa? Wakati nikiweka code ni rahisi kwa mtu kuchukua na kuload, labda kama mtu hajui kuload codeYaan kuweka code badala ya tips ndio sio hiyo, sababu hapo ili mtu azione ni mpaka afungue link. Na hivi umeweka promo code yako ni kama vile lengo ni watu wajiunge zaidi kuliko kufaidika na tips.
We Kwenye mkeka wako uki screenshot team ukaweka hapa badala ya link yenye promo code yako nadhan ndio utaeleweka zaid.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ili muwe mnabeti huko ndaniAhsante Joanah hii nikitoboa hata mahari nakuja kukulipia kabisa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hata hayo madude unayoweka ni sehem ya utapeli mkuuWako very desperate sana Mkuu , kiasi kwamba wanazusha kuwa mimi ni tapeli kana kwamba kuna mtu nimemtapeli. Watu wengi wamejisajili kwa kupitia link yangu na hawajatapeliwa ila wao wa nahisi tu.
Mkuu acha hasira, peleka mawazo yako kwenye kuwin mkeka. Na hivi karibuni tutashinda hela kutoka kwa Kanji. Hivyo hii mada haina umuhimu wowote, tufocus kwenye kuwin. Haijalishi umewin kwa kupitia Booking Code yangu au ulijisajili kwa PROMO CODE yanguAcha ujinga, ushaambiwa lengo la huu uzi sio hizo mambo zako
Kama vipi si uanzishe uzi wako kwa ajili ya hayo matangazo yako ya kishamba
Huyo uliyemtag last seen yake ni 2012...ni nani huyo?[emoji23] tumuulize Simba mpole