Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UTABIRI WA MECHI ZA LEO TAREHE 03/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na mwezi ktk nyota ya Ng'e

TANZANIA:

Simba vs Mashujaa

Matokeo ya mchezo huu yatakuwa ni sare

AFCON

(1)Cape Verde vs South Africa

South Africa atashinda mchezo huu wa Leo ingawa mchezo utakuwa mgumu Kwa sababu nyota zao Leo zina nguvu sawa ila uwepo wa Kocha wa south Africa mwenye nyota ya Samaki dhidi ya yule wa Cape Verde mwenye nyota ya Mbuzi utasababisha kipigo Kwa Cape Verde.

(2)Mali vs Ivory coast

Mali atashinda mchezo huu bila wasiwasi akiwa na Kocha wao mwenye nyota ya Ng'e.

LIGI ZA NJE

(1) Everton vs Tottenham Hotspur

Tottenham Hotspur atashinda

(2)Empoli vs Genoa fc

Genoa atashinda

(3)Udinese calcio vs Ac Monza

Ac Monza atashinda

(4) Freiburg vs vfb Stuttgart

Draw

5) Burnley vs Fulham

Draw

6) Granada vs Ud las Palmas

Granada atashinda

Fc Cologne vs Eintracht Frankfurt

Cologne atashinda

Utabiri huu umezingatia uwepo wa mwezi ktk nyota ya Ng'e vile vile uwepo wa sayari za mars, mercury na Venus pia jua

by magical power
 
Huu utabiri umedanganya kabisa, hakuna namna Cologne akashinda. Cologne asipofungwa atatoa draw. No win kwa Cologne.
Pia matokeo ya sare yote uliyoyatabiri siyo kweli, kwenye pre match betting kutabiri sare huwa kazi sana. Simba lazima ashinde.
 
UTABIRI WA MECHI ZA LEO TAREHE 03/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na mwezi ktk nyota ya Ng'e

TANZANIA:

Simba vs Mashujaa

Matokeo ya mchezo huu yatakuwa ni sare

AFCON

(1)Cape Verde vs South Africa

South Africa atashinda mchezo huu wa Leo ingawa mchezo utakuwa mgumu Kwa sababu nyota zao Leo zina nguvu sawa ila uwepo wa Kocha wa south Africa mwenye nyota ya Samaki dhidi ya yule wa Cape Verde mwenye nyota ya Mbuzi utasababisha kipigo Kwa Cape Verde.

(2)Mali vs Ivory coast

Mali atashinda mchezo huu bila wasiwasi akiwa na Kocha wao mwenye nyota ya Ng'e.

LIGI ZA NJE

(1) Everton vs Tottenham Hotspur

Tottenham Hotspur atashinda

(2)Empoli vs Genoa fc

Genoa atashinda

(3)Udinese calcio vs Ac Monza

Ac Monza atashinda

(4) Freiburg vs vfb Stuttgart

Draw

5) Burnley vs Fulham

Draw

6) Granada vs Ud las Palmas

Granada atashinda

Fc Cologne vs Eintracht Frankfurt

Cologne atashinda

Utabiri huu umezingatia uwepo wa mwezi ktk nyota ya Ng'e vile vile uwepo wa sayari za mars, mercury na Venus pia jua

by magical power
Tutayaona mengi msimu huu
 
8 odds couners
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240203_152535.jpg
 
Ushauri wa KWA WALE INFLUENCERS WANAO TOKA TIPS.

Usiingie Mkenge kuafata Mikeka Yao. As More Mikeka Yao inachanika ndio More wanalipwa. Kaa Peke yako andaa mkeka, Shauriana na watu angalia mawazo ya watu wengine.

Ukiona Mtu anakupatia Promocode, Code ya Kuweka Mkeka na Link ya Hiyo Kampuni huyo ni Red Flag, the more una Loose the more analipwa hela nyingi.

Angalia wanao toa Tips bila kuwa na link ya Kampuni yeyote ile, hao unaweza kuwaamini, Ukisha Ona PROMOCODE kaaa Mbali Naye, Kaa Mbali Kabisa
 
Nilikuwa sijui hii kitu dah....shukrani sana kwa kunifungua ESPRESSO COFFEE
 
Back
Top Bottom