KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,238
- 4,885
Drawa moja wapo ni BESIKITA odd 3.20Leo mwendo Wa draw..duh tuombe Mungu
Monaco..draw
Torino..draw
Bilateral ...draw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drawa moja wapo ni BESIKITA odd 3.20Leo mwendo Wa draw..duh tuombe Mungu
Monaco..draw
Torino..draw
Bilateral ...draw
Mzee nakuombea maana Hawa wajinga unakuta dakika ya kwanza tu kashapiga Buti😃😃
now tuone braga watatokaje cas wamebak wao tu[emoji32] [emoji120]
Yaan mm mwenyewe nashangaa kabisaMatokeo ya ajabu ajabu ukienda PAWA 6 watu wanapiga 27/30😃😃
Hua Sina Imani kabisa naoYaan mm mwenyewe nashangaa kabisa
Wakuuu naombeni msaada kwa watumiaji wa 1xbet. Maana juzi tarehe 2.2.2024 nilitoa pesa but mpka leo pesa haijafika kwenye number yngu. Nimewasiliana nao lakin hawaeleweki
Nilitoa kaa njia ya simu. Voda aisee toka tarehe 2.2.2024 mpka sasa ipo pending tuUmetoa kwa njia gani mkuu
Njia salama kutumia 1xbet ni wakala
Hizo mobile payments method kuweka haina shida ila kutoa inakuaga issue sana