trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 758
- 1,400
Jana Nimerudisha hasara zangu kwa Live Betting ya City
Hongera mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana Nimerudisha hasara zangu kwa Live Betting ya City
EeehYanga over 2.5[emoji736][emoji736][emoji817]
Wanaoweka hizi odds kwenye kampuni za kubet nimewavilia kofi, yaani Kuna vitimu option ya over 1.5 wanaoweka odds mpaka 1.78, jichanganye uifuate unakula za uso. Nimejaribu Kuna vitimu vingi vya Brazil Kuna michuano inaendelea Kwa msaada wa LiveScore yaani ni kichapo Kwa kwenda mbele. Yaani wapo informed na mwenendo wa timu na ligi mbalimbali dunianiMkuu unajua how Odds zinakuwa Calculated [emoji28][emoji28]
Wanaoweka hizi odds kwenye kampuni za kubet nimewavilia kofi, yaani Kuna vitimu option ya over 1.5 wanaoweka odds mpaka 1.78, jichanganye uifuate unakula za uso. Nimejaribu Kuna vitimu vingi vya Brazil Kuna michuano inaendelea Kwa msaada wa LiveScore yaani ni kichapo Kwa kwenda mbele. Yaani wapo informed na mwenendo wa timu na ligi mbalimbali duniani
Mambo ya chance na event, wakati sie tunaangalia "probability" Kwa event 3 yaani unasikia mtu anasema "mpira una matokeo matatu" wakati wao wanadadavua kiundani zaidi Kwa kuiangalia other factorsSi tulikuwa tunaulizana hizi TOPIC ZA HESABU zitatusaidia nini Kwenye Maisha, haya sasa Application yake imeanza kuonekana
Mambo ya PROBABILITY SASA [emoji28]
Hyo probability hatuielewi ss MAAFISA maake cc tunaelewa mpira unamatokeo manne 2 .kheri mwalimu wa math atuandalie making scheme tumbutue kanji bayiiiiiMambo ya chance na event, wakati sie tunaangalia "probability" Kwa event 3 yaani unasikia mtu anasema "mpira una matokeo matatu" wakati wao wanadadavua kiundani zaidi Kwa kuiangalia other factors
Yalikuwa mazungumzo baada ya habari tu mkuu, tuendelee na Kanji tuHyo probability hatuielewi ss MAAFISA maake cc tunaelewa mpira unamatokeo manne 2 .kheri mwalimu wa math atuandalie making scheme tumbutue kanji bayiiiii
Kama hujui uliza bro...Sonko ni mwana nipo naye kwenye group la basketball....jumapili aliweka odds 4 kwa stake kubwa akapiga 8M then akaweka odds 3 kwa stake kubwa akapiga 11M...jumla kampiga mrusi 19M...Akili za kuambiwa changanya na zako!!.. Sasa hivi watu wana edit tu ili aweze kuvuta wajinga wengi baadae....hapo hata akisema atengeneze group kisha atoze 30k per month kuna wajinga watatoa ili wapate odds.
TO be precise, hapa ni mambo ya Kelly Criterion formulaMambo ya chance na event, wakati sie tunaangalia "probability" Kwa event 3 yaani unasikia mtu anasema "mpira una matokeo matatu" wakati wao wanadadavua kiundani zaidi Kwa kuiangalia other factors
Duu nikajua ni kina mimi hapa wa buku buku tule 19 kumbe ni wa stake nzito nzitoKama hujui uliza bro...Sonko ni mwana nipo naye kwenye group la basketball....jumapili aliweka odds 4 kwa stake kubwa akapiga 8M then akaweka odds 3 kwa stake kubwa akapiga 11M...jumla kampiga mrusi 19M...
Mko wawili na picha mmeweka 1Basi jaribu kuumiza kichwa mara kadhaa halafu uweke code hata mara tano humu...utaelewa wanaoweka code lengo lao sio kupotosha bali betting ni ngumu tu
Tupo wawili ndio...yule mwingine ana double N
Hakuna mazingaombwe kwenye kubet mjomba ni vyema utulie tu hizo tabili zako za mchongo. unatabili double chance, eti ashinde au anadraw sasa huo nao ni utabiliMECHI YA LEO 6/2/2024
TANZANIA
Tabora united vs Simba
Mchezo utakuwa mgumu lakini mwisho wa siku Simba atashinda
NJE
(1)Fc Sochaux vs Fc stade Tenses
Fc Sochaux kushinda au draw
(2)Mallorca vs Real sociedad
Real sociedad kushinda
(3)Bayern 04 Leverkusen vs Vfb Stuttgart
Bayern 04 Leverkusen kushinda
(4) Coventry city vs Sheffield Wednesday
Coventry city kushinda au draw
(5) Motherwell Fc vs Ross county
Motherwell kushinda au draw
By magical power