Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu wazee wa mikeka, inaonekana leo ni siku ya pesa. Leteni hiyo mikeka tukopi basi.
1707202248366.png
1707202342793.png
 
Mkuu unajua how Odds zinakuwa Calculated [emoji28][emoji28]
Wanaoweka hizi odds kwenye kampuni za kubet nimewavilia kofi, yaani Kuna vitimu option ya over 1.5 wanaoweka odds mpaka 1.78, jichanganye uifuate unakula za uso. Nimejaribu Kuna vitimu vingi vya Brazil Kuna michuano inaendelea Kwa msaada wa LiveScore yaani ni kichapo Kwa kwenda mbele. Yaani wapo informed na mwenendo wa timu na ligi mbalimbali duniani
 
Si tulikuwa tunaulizana hizi TOPIC ZA HESABU zitatusaidia nini Kwenye Maisha, haya sasa Application yake imeanza kuonekana

Mambo ya PROBABILITY SASA [emoji28]
 
Si tulikuwa tunaulizana hizi TOPIC ZA HESABU zitatusaidia nini Kwenye Maisha, haya sasa Application yake imeanza kuonekana

Mambo ya PROBABILITY SASA [emoji28]
Mambo ya chance na event, wakati sie tunaangalia "probability" Kwa event 3 yaani unasikia mtu anasema "mpira una matokeo matatu" wakati wao wanadadavua kiundani zaidi Kwa kuiangalia other factors
 
Mambo ya chance na event, wakati sie tunaangalia "probability" Kwa event 3 yaani unasikia mtu anasema "mpira una matokeo matatu" wakati wao wanadadavua kiundani zaidi Kwa kuiangalia other factors
Hyo probability hatuielewi ss MAAFISA maake cc tunaelewa mpira unamatokeo manne 2 .kheri mwalimu wa math atuandalie making scheme tumbutue kanji bayiiiii
 
Akili za kuambiwa changanya na zako!!.. Sasa hivi watu wana edit tu ili aweze kuvuta wajinga wengi baadae....hapo hata akisema atengeneze group kisha atoze 30k per month kuna wajinga watatoa ili wapate odds.
Kama hujui uliza bro...Sonko ni mwana nipo naye kwenye group la basketball....jumapili aliweka odds 4 kwa stake kubwa akapiga 8M then akaweka odds 3 kwa stake kubwa akapiga 11M...jumla kampiga mrusi 19M...
 
Duu nikajua ni kina mimi hapa wa buku buku tule 19 kumbe ni wa stake nzito nzito
 
Basi jaribu kuumiza kichwa mara kadhaa halafu uweke code hata mara tano humu...utaelewa wanaoweka code lengo lao sio kupotosha bali betting ni ngumu tu

Tupo wawili ndio...yule mwingine ana double N
Mko wawili na picha mmeweka 1
 
MECHI YA LEO 6/2/2024

TANZANIA

Tabora united vs Simba

Mchezo utakuwa mgumu lakini mwisho wa siku Simba atashinda

NJE

(1)Fc Sochaux vs Fc stade Tenses

Fc Sochaux kushinda au draw

(2)Mallorca vs Real sociedad

Real sociedad kushinda

(3)Bayern 04 Leverkusen vs Vfb Stuttgart

Bayern 04 Leverkusen kushinda

(4) Coventry city vs Sheffield Wednesday

Coventry city kushinda au draw

(5) Motherwell Fc vs Ross county

Motherwell kushinda au draw

By magical power
Hakuna mazingaombwe kwenye kubet mjomba ni vyema utulie tu hizo tabili zako za mchongo. unatabili double chance, eti ashinde au anadraw sasa huo nao ni utabili
 
Back
Top Bottom