Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Match Fixing is REAL [emoji28][emoji28][emoji28]
IMG_6250.jpg
 
Odds alizokuwanazo kabla ya mechi ndugu yetu baselona na vitu anavyofanya uwanjani unabaki kushangaa.

Mpaka muda huu dak ya 75
Baselona 2:3 Granada
Hii timu bhana,,, mapuuza mengi sana,,,, cyo wa kuitolea macho ni wajinga sana
 
Mliompa na mtakaompa juventus au chelsea leo mjiandae kisaikolojia, bundi leo anarukaruka hapo! Wale wa fc porto ondoeni presha mambo yataenda poa sana.....msijesema hamkuambiwa!
Maajabu yake sasa zote win + athletic
 
Mliompa na mtakaompa juventus au chelsea leo mjiandae kisaikolojia, bundi leo anarukaruka hapo! Wale wa fc porto ondoeni presha mambo yataenda poa sana.....msijesema hamkuambiwa!
Acha uoga wewe
Chersea win
Juve win
Porto win
Bilbao win
Msemo wa johan stake mbupu
 
Punters wengi tumempa Farul kwasababu alikuwa na kila Sifa ya Kushinda
Na sasa ana red card juu. Naam, uko sahihi kabisa. Prediction sites nyingi zilimpatia nafasi kubwa ya ushindi maana standing na form yake ni nzuri mno, anasumbua hadi vigogo kwenye league yao, kina FCSB na CLUJ. Alikuwa na 61 winning percente kubwa kuliko hata FC PORTO leo, plus home advantage na pia hana majeruhi. Nikampa double chance nayo imegoma.
IMG_20240212_144906.jpg

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom