Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

D) Tsh: 5,000 +++++ turukeeee

Screenshot_20240224-103435.png
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA ASEC MIMOSA NA SIMBA TAREHE 23 /02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Simba.

HALI ZA TIMU KINYOTA

Simba kinyota ni Mizani na Asec mimosa kinyota ni Punda.
Uwiano kinyota timu zote zipo sawa.

HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa Asec mimosa ana nyota ya Simba na yule wa Simba ana nyota ya Mshale.

HALI ZA MAKIPA

MAKIPA wa Asec mimosa Wana nyota za Mbuzi isipokuwa mmoja mwenye nyota ya Samaki hivyo Kwa siku hii wapo vizuri Sana.
Kwa upande wa Simba MAKIPA wao Wana nyota za Kaa, Mashuke na n'ge Hivyo Kwa siku hii nyota ya Kaa na n'ge watafaa Sana.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu una Kila dalili ya Sare ya goli 1-1
Au Simba kufungwa goli 2-1

Hivyo timu zote kufunga magoli jibu ni ndiyo

NINI KIFANYIKE

Kikosi Cha Simba kipangwe kulingana na Hali ya nyota Kwa siku hiyo.

Utabiri huu umezingatia nafasi ya mwezi na jua pia mipangilio ya sayari Kwa siku hiyo.
Hakuna mshirikina aliefanikiwa hata mmoja🤣🤣🤣🤣

Wachungaji wenyewe walichemka Mechi za YANGA na SIMBA

Endelea kutupa Burudani lakini

Maana kina Mr.Pipa mnaanzia mikakati wenu mbaaaali,kisha mnanza mambo yenu,tunawazoom tuuu
 
betting ni ngumu wazee. huyu jamaa anayekujaga kutukatisha tamaa kwamba hatuwezi, kumbe kitambo alishabeti sana akachemka. kwasababu yeye kashindwa anajua na sisi tushashindwaView attachment 2914214
Hahaaa, swala la kushindwa kwa Kanji ni kwa kila mtu. Kanji ameshindikana hata muungane wote huku.
Kanji anatumia majini toka bahari ya 7
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA ASEC MIMOSA NA SIMBA TAREHE 23 /02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Simba.

HALI ZA TIMU KINYOTA

Simba kinyota ni Mizani na Asec mimosa kinyota ni Punda.
Uwiano kinyota timu zote zipo sawa.

HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa Asec mimosa ana nyota ya Simba na yule wa Simba ana nyota ya Mshale.

HALI ZA MAKIPA

MAKIPA wa Asec mimosa Wana nyota za Mbuzi isipokuwa mmoja mwenye nyota ya Samaki hivyo Kwa siku hii wapo vizuri Sana.
Kwa upande wa Simba MAKIPA wao Wana nyota za Kaa, Mashuke na n'ge Hivyo Kwa siku hii nyota ya Kaa na n'ge watafaa Sana.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu una Kila dalili ya Sare ya goli 1-1
Au Simba kufungwa goli 2-1

Hivyo timu zote kufunga magoli jibu ni ndiyo

NINI KIFANYIKE

Kikosi Cha Simba kipangwe kulingana na Hali ya nyota Kwa siku hiyo.

Utabiri huu umezingatia nafasi ya mwezi na jua pia mipangilio ya sayari Kwa siku hiyo.
Utabiri huu umezingatia nafasi ya mwezi na jua pia mipangilio ya sayari Kwa siku hiyo
 
Hakuna mshirikina aliefanikiwa hata mmoja🤣🤣🤣🤣

Wachungaji wenyewe walichemka Mechi za YANGA na SIMBA

Endelea kutupa Burudani lakini

Maana kina Mr.Pipa mnaanzia mikakati wenu mbaaaali,kisha mnanza mambo yenu,tunawazoom tuuu
Mkuu usiunge kwenye ugomvi wa Mr pipa na WAtumishi wake mkuu😂😂😂
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.

HALI ZA TIMU KINYOTA

CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.

HALI ZA MAKOCHA

Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.

HALI ZA MAKIPA

CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
 
Back
Top Bottom