Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Man u GG
Everton win
Jkt Draw
Psg win
Lamia draw
Newcastle loose

WEKA ROHO.
Saiv tungekua tunatabasamu. Ila nani anaweza jua hili.
 
Nilisema humu ogopa Timu zinazokaribia kushuka daraja huwa wanakaza sanaa.
Sio zinazokaribia tu hata zinazoshuka.
Kuna mwaka Fulham akiwa kibonde na ameshajihakikishia kushuka daraja mechi ya mwisho walicheza na Man U, hiyo siku Fulham waliupiga mpira utafikiri kuna kitu wanagombea na wakashinda 2:0.
 
Liverpool karambwa 2-0 tusiende kwa mazoea wazee tutapotea naona siku hizi mechi hazieleweki, Salzburg karambwa 4-3, Zenit Russia karambwa 0-2 duuh
 
Gemu zinauzwa kuweni makini sana.
Hahhh sawa Kwa vile umebeti kijana Yani Hela na kombe we unafkiri mchezo Yani arsenal hataki pesa wanachotaka ni kombe ndo heshima aliyobakisha kubeba EPL vile vile Liverpool nae watu wanatoka jasho uwanjani wanataka kombe eti wauze mechi hicho kitu halipo kabisa hayo ni matokeo ya mpira tu afu na izi ishu za mechi kuuzwa zimekuja Kwa sababu ya betting
 
Watu wanaisi Kila mechi imeuzwa 😂 hayo ni matokeo tu we jaribu kufikiria tu we miaka kibao hamjabeba. Kombe afu et mtu anaweka Hela mjifungishe kwani watu wanavopigania kombe ni Kwa ajili ya Hela??? Hapana kombe ni heshima ni ushindi na Wala sio pesa hzo usizani Wana njaa ya Hela😂
 
Naona real Madrid ana odds mlima double chance 2x au mtego wa kanji maana ana UEFA jumanne sijui jumatano na PSG
 
Kuna mtu anaitwa Leverkusen naskia kashatangaza ubingwa na anaenda kucheza na mtu wa tatu Stuttgart sijui anajali kweli Tena😆 balaa
 
IMG_0803.jpeg
 
Back
Top Bottom