Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejiunga leo na hela bet naona wapo kama 1xbet ila hawa wao unadeposit kwa mobile money. Vipi hawasumbui kwenye malipo?Wakuu hivi helabet awanaga cash out mana kunakamkeka changu kamebakiza timu Moja ya mchezo wa tennis ilipaswa ichezwe Jana saa 18:30 jioni lakini aikuchezwa Jana imeletwa Leo saa 19:00 usiku lakini nimeifatilia yaonesha aikuchezwa Tena Leo naona bora nichukue kilichopo mana kwa hii situation naona kanji anampango wa kando atanipiga na kitu kizito
🤣🤣🤣🤣Wakuu ligi zitarudi lini?
UEFA EURO nitaipata kwenye chaneli gani hapa nchini Tanzania ndugu ?
UEFA EURO nitaipata kwenye chaneli gani hapa nchini Tanzania ndugu ?
AahaaaaaDuhh Aisee
Kumbe tunafuatilia bunge kama mie
Nilifikiria Waziri atamshauri Rais aunde WIZARA YA WAKAMARIA
codes za betpawa mkuu
Wadau mliosafiri namie ODDS 10
Huu wali kweli Leo asbh umeingia mchangaWali mtamu lakini kuna mawe, chambua.... 2F3073 SB
Ewaaa ile hela nlokuwa nasikia harufu yake ndo hii sasaaaaaa.Wadau mliosafiri namie ODDS 10
Tunasubiria Mechi moja tuu ya mwisho England vs Serbia keshooo saa 4 usikuuuuu Ili Asubuhi Tulamsumbue Wakala 👏👏👏👏
Ipo bwana ukiangalia kwenye deposit iponimejiunga ila hakuna sehemu ya Tigo pesa , walo halopesa , mpk kumtumia wakala huo ni usumbufu na bora nibaki tu gal sport betting promo kibao lkn zero kweny depost hata withdraw