Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau hapa Nataka nijue ipi kampuni Bora nataka niwekeze pesa kwenye betting hii miezi iliyobaki Ili nipate pesa ya ujenzi mwakani kwenye Kiwanja changu Sasa hapo ipi kampuni Bora kwenye hii tasnia Kwa mnaozijua vizuri ambayo Haina longo longo kwenye kutoa na kuweka pesa kiufupi kwenye malipo ipi ambayo Haina usumbufu
Kwenye kuweka na kutoa sportpesa anajitahidi. Ila kula hela yake ni ngumu sana kwa sababu option zenye unafuu wamezibania. Inakulazimu utembee na direct win kitu ambacho ni hatari.
 
Waheshimwa hii option naomba maelezo kiidogo
 
Attachments

  • Screenshot_20240721_080051_1xBet.jpg
    Screenshot_20240721_080051_1xBet.jpg
    731.4 KB · Views: 5
Nje ya mada,

Nimejichanganya kununua vocha tigopesa, badala ya kuweka 2,000 nikaongeza 0 ikawa 20,000!

Kama uko interested njoo Pm nitakuuzia Vocha ya 5000 kwa wewe kunitumia 3500... Sina namna aisee!

Nikiangalia huku Celje, Slavia Prague, silkeborg, young boys, fk Auda, maribor, backa topola, rosenborg, Valmeira!..... 𝑲𝒊𝒄𝒉𝒘𝒂 🅺🅸🅽🅰🆆🅰🅺🅰 𝕄𝕠𝕥𝕠𝕠!
Pole mkuu, haukopeshi nikulipe mwezi ujao (jokes)

Pole sana mkuu, hope wadau wataokoa jahazi
 
betting haitaki makeke wazee. tulipokuwa wageni kwenye hii industry tulileta sana ngonjera, baada ya kujionea hali halisi sasa tumetulia.

kuna jamaa humu aliweka link ya group watu wajiunge, group lenyewe anacomment yeye tu admin, kujisifu kukawa kwingi, mara hakuna kuloose mara tumekuja kubadilisha maisha ya wakamaria. codes zake zilivyochana mfululizo hata group lenyewe kaliona chungu, kalifuta.

betting haitaki kujisifu wazee, uwanjani huchezi wewe.
 
Mara unaambiwa cheza timu chache ule hela
 
jamani hela imemwagwa wiki hii.....hii ni wiki ya kupata hela ya jezi ya yanga na kiingilio siku ya mwananchi
 
Mkk

Mkuu paripesa bongo haipo unatutamanisha wakamalia na hii mikeka yako ya kila siku ila hatuwez kuvuta izo code
Pia Mkuu usiseme hamuwezi kuvuta code, nakupa taarifa kuwa watu wengi wa kutoka kwenye jukwaa hili wamejisajili na wanatumia PARIPESA kila siku. Kama ulidhani haifanyi kazi jisajili leo uthibitishe mwenyewe. Pia ingekuwa haipo usingeona makato ya kodi baada ya ushindi.
 
Back
Top Bottom