Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Nimepigwa kwa kugeuzwa geuzwa mpaka kuna kipindi unacheza odds 4 unaweka jero upate hata buku 2 napo kanji anapita nazoNimepigika mpaka sielewi hapa. Formula zote zile za 99% zinanikataa