Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naomba mnisaidie site gani nzuri ya betting..odds nzuri,option nyingi alafu Haina mambo ya kitapel.. kati ya hizi
Sportybet
Sportpesa
Wasafibet..

Mwanzi nilikuwa naitumia sana wasafi ila naona kama kua mechi baadhi ya option hawaweki wakat ukiangalia kwinngine unazikuta na sport pesa nao naskia wapo vizuri ila option zao chache sana. Em kama zipo Bora zaidi na nyepesi nisaidieni na ambazo masuala ya cash out yapo vizuri
.. ahsanteni
 
Hamia Sportybet utanishukuru.
 
Hamia sportybet kuna options nyingi na odds nzuri, utofauti wake ni kwamba mechi za nyumbani huwa wanachelewa sana kuziweka ukilinganisha na sportpesa.
 
Wakuu naomba mnisaidie site gani nzuri ya betting..odds nzuri,option nyingi alafu Haina mambo ya kitapel.. kati ya hizi
Sportybet
Sportpesa
Wasafibet..

Mwanzi nilikuwa naitumia sana wasafi ila naona kama kua mechi baadhi ya option hawaweki wakat ukiangalia kwinngine unazikuta na sport pesa nao naskia wapo vizuri ila option zao chache sana. Em kama zipo Bora zaidi na nyepesi nisaidieni na ambazo masuala ya cash out yapo vizuri
.. ahsanteni
1XBET nsio shuluhisho la ugonjwa wako
 
Huko nasikia kuweka hela na kutoa ndio shida simjui ni kweli?
Sasa hivi sio shida, mpaka dollar tunaweka.
Screenshot_20240809-111607_1xBet.jpg
 
Nashukuru ila naomba mnisaidie na option ambazo ni rahisi..binafsi nacheza sana normal (3way),over na (double chance & over)..

Nataka kuifahamu vizuri option ya corner na handicap
Option zenye uafadhali kidogo kwangu mimi naona ni zifuatazo ila zinakuwaga na odds chache sana ila kama ni high staker zitakufaa

Win to nil home/away team hapa unaweka no kwa team dhaifu kidogo
Handicap
Any team to score three goals in a row weka no
GG 2+ weka no
Kwa sportybet naona ni hizo
 
Attachments

  • Screenshot_20240809-134349.png
    Screenshot_20240809-134349.png
    125.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom