Ndege benny
Member
- Aug 30, 2024
- 46
- 82
Najibu lakin chakushangaza Kila nkijib Sion mesej yang mkuuNimekutumia ila hujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najibu lakin chakushangaza Kila nkijib Sion mesej yang mkuuNimekutumia ila hujibu
Okay, ukijibu lazima utume meseji kwa kubonyeza hicho kialama cha Telegram kilicho upande wa kulia chini. Ukibonyeza hicho ndiyo utakuwa umetuma meseji kwanguNajibu lakin chakushangaza Kila nkijib Sion mesej yang mkuu
Natum mkuu Cha ajab inaonesha imeenda halaf nlichoandika sikionOkay, ukijibu lazima utume
Ukisha andika, bonyeza hicho kialama kilicho upande wa kulia chini. Angalia picha hiiNatum mkuu Cha ajab inaonesha imeenda halaf nlichoandika sikion
Haya 1xbet kasisha ondoa mobile paymentBila kusahau kwamba kampuni hizo ndio zinaongoza kwa kudhulumu ukiwapiga parefu
1xbet ndio kampuni mama, hizo zingine zote zinatumia template na server za 1xbet
Zimejaa ujanja ujanja mwingi sana kuliko maelezo
Hapa Bongo alianza 1xbet akasepa na hela zetu kwa kutoa mobile payments
Akaja 22bet akaja na hadithi hizo hizo akasepa na mpunga wa watu
Akaje Helabet sasa hivi kabaki tia maji tia maji kuweka hela na kutoa ni issue
Kaja Paripesa, kuna mitandao inanjia ya kuweka pesa tu, ukishinda hakuna njia ya kutolea unaambiwa utoe kwa njia uliowekea
Mwaka huu hauishi Paripesa atakua kapotea
Sasa hivi 1xbet karudisha mobile payment kinyemela hajasajiliwa na bodi muda wowote kitabuma..... bora kutumia wakala ni uhakika ila kuna usumbufu
Bado kuna Betwinner pia
Kuwa makini sana na makampuni ya kirusi
Sio kama nayaponda hata mimi natumia 1xbet kwasababu ya wingi wa machaguo na app yao ni super