Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

dknjjh.jpg

MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA

Booking Code: DHKCB

Bet Kwenye PARIPESA na kama huna akaunti ya PARIPESA jisajili hapa chini kwenye link. 👇👇.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉👉 TIPS2424

Pata Bonus Ya Mpaka TZS 250000 Ukijisajili Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Leo. Bonus ni baada ya kudeposit.
 
SONGETSHA TIPS
KATANUSU MXB
 

Attachments

  • IMG_20240831_124741_206.jpg
    IMG_20240831_124741_206.jpg
    204.3 KB · Views: 4
Ndio haya tulikua tu
Bila kusahau kwamba kampuni hizo ndio zinaongoza kwa kudhulumu ukiwapiga parefu

1xbet ndio kampuni mama, hizo zingine zote zinatumia template na server za 1xbet
Zimejaa ujanja ujanja mwingi sana kuliko maelezo

Hapa Bongo alianza 1xbet akasepa na hela zetu kwa kutoa mobile payments
Akaja 22bet akaja na hadithi hizo hizo akasepa na mpunga wa watu
Akaje Helabet sasa hivi kabaki tia maji tia maji kuweka hela na kutoa ni issue
Kaja Paripesa, kuna mitandao inanjia ya kuweka pesa tu, ukishinda hakuna njia ya kutolea unaambiwa utoe kwa njia uliowekea
Mwaka huu hauishi Paripesa atakua kapotea
Sasa hivi 1xbet karudisha mobile payment kinyemela hajasajiliwa na bodi muda wowote kitabuma..... bora kutumia wakala ni uhakika ila kuna usumbufu
Bado kuna Betwinner pia

Kuwa makini sana na makampuni ya kirusi
Sio kama nayaponda hata mimi natumia 1xbet kwasababu ya wingi wa machaguo na app yao ni super
Haya 1xbet kasisha ondoa mobile payment
Hapo kama ulideposit kwa njia hiyo na sasa ukitaka kutoa inakua shughuli
 
nyfcwm.jpg

SINGLE BET

Bet Katika PARIPESA. Kama huna akaunti ya PARIPESA jisajili hapa na Bet 👇👇.

PariPesa

PariPesa

PROMO CODE👉👉 TIPS2424

Pata Bonus Ya Mpaka TZS 250000 Kama Utajisajili Na Kuweka Promo TIPS2424 Leo.
 
Back
Top Bottom