Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Finally tumefikia mwisho kwa ushindi
Mwamba umetisha nilikuwa nasaka post ya hii code niiquote. Aisee kwanza nimeamini kampuni ni sportybet huko kwingine potezea huwezi amini hii code niliifuata kwa hela ya bonus(600) waliyonipa ila imenipa 30k hakuna masharti ya kuitumia kama kule kwa mrusi bonus yao bora masharti ya kafara utayamudu ila siyo ya kampuni za mrusi. Mkuu endelea kutupia ahsante sana nimepata chochote kitu sijui kwanini sikuweka heavy weight kwenye dau
 
Jamaa kapata milioni 90 🙏🏾

Hakika uwoga wako umasikini wako 😢

IMG_6072.jpeg
 
Kilalakheri
 
Attachments

  • 1726028949000.jpg
    1726028949000.jpg
    164.1 KB · Views: 6
Huyu jamaa alimtolea taarifa na alitushauri tuwe tunamchungulia ana kaupepo flan,,,,,
Sema bhana betting dah, unatafuta odds nne zinakukataa,,, mwenzako odds mia zinatiki ,,,, 🤣🤣🤣 anyway acha tuendelee
Aliweka link yake kama ipo atupe au awe anaweka code zake
 
Huyu jamaa alimtolea taarifa na alitushauri tuwe tunamchungulia ana kaupepo flan,,,,,
Sema bhana betting dah, unatafuta odds nne zinakukataa,,, mwenzako odds mia zinatiki ,,,, 🤣🤣🤣 anyway acha tuendelee
Shida inakuja jamaa anaweka code nyingi sana haijulikani ipi itawini Hapo ndio kisanga🤣🤣🤣🤣🤣
 
5+ ODDS BANKER
 
Attachments

  • IMG_20240911_080434_287.jpg
    IMG_20240911_080434_287.jpg
    61.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom