Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu..Nataka nilizuie hili li goal mashine lisifunge goli leo kwa 100k
✅Kama wewe mpenzi wa Man U na hautaki karaha za maumivu ya betting cheza hii option kisha baada ya dk 7 enjoy watching the game
Try at your own risk mzee sio rahisi kiivoNataka nilizuie hili li goal mashine lisifunge goli leo kwa 100k
Mikundu kwel hao yaani dk 35 kakona kamoja tu
WonKama wewe mpenzi wa Man U na hautaki karaha za maumivu ya betting cheza hii option kisha baada ya dk 7 enjoy watching the game
Atasepa na kijijiHaya Man City kashaanza kupandisha watu presha mapeema
Aiseee hili dubwana ni balaaa 😭Nataka nilizuie hili li goal mashine lisifunge goli leo kwa 100k
🤣🤣Aiseee hili dubwana ni balaaa 😭
😅😅😅 halikwepeki mzeeAiseee hili dubwana ni balaaa 😭
Kaweka zake la pili, haland hata apewe odds 100 asiscore goal usijaribuAiseee hili dubwana ni balaaa 😭
Jini lile kakaKaweka zake la pili, haland hata apewe odds 100 asiscore goal usijaribu