Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana Pesa ya supu na kutengeneza mikeka ya leo 💥💥💥
 

Attachments

  • Screenshot_20240920-065609_SportyBet.jpg
    Screenshot_20240920-065609_SportyBet.jpg
    100.8 KB · Views: 3
Mie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga
Naipakua haipakuliki Mzee.
 
888starz-logo.png

888STARZ KAMPUNI PEKEE YA MRUSI AMBAYO UKISHINDA HAINA MAKATO YA KODI YA TANZANIA. JIUNGE HAPA

Bonyeza Link Hizo Hapo Chini Kujiunga Na Promo Code Weka Neno TIPS2424 👇

888STARZ

888STARZ

Promo Code👉 TIPS2424

Bonus Ya Mpaka TZS 300,000 Ukitumia Promo Code TIPS2424
 
Hayaaaaa kumekuchaaaaaa

Kanji Jana tumé neutralize na mitaji yetu

Leo kanji anaichungulia mitaji yetu

Leo ni mwendo wa stake kubwa kwenye ODDS Chache kisha Mwendo Kasi la mwamposa mpaka jpili

Lazima uwe na mkeka unaoisha leo Leo na mwingine unaofika jpili,sio tunasubiria keka la kuunga tuu likizeoa yooote sepeee hata rebet inakuwa haiwahi

Leo Hindi au Rusi Moja lazima lifeeeeeee

Jana mikeka yangu yoote ilikuwa inatiki Arsenal vs Barca wameninyima Corner Moja tuuuu
 
Button ya cash out kuweza kuishinda yataka moyo sana trabzonspor nilimpa double chance win/draw mpaka dk 88 kapigwa 0-2 nusu nicashout nikasema acha iende tuu full time kachomoa 2-2
Unaruka kiunzi cha Trabzonspor unakutana na Barcelona na Arsenal.....betting inatufanya tuzeeke mapema kwa stress
 
Jamani msaada sipati otp kujiunga sportybet.
pili naombeni gari moshi la betpawa
 
Back
Top Bottom