Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wamefunga hadi Skrill maboya hawa sijui ndio wanataka watupige....... ulintumia njia Gani niiepuke?
Screenshot_20240921-084206_1.jpg

Wakuu jana niliwauliza na majibu yao yalikuwa ni kuwa wakala wa Tanzania ana changamoto. Soma hiyo meseji
 
Makampuni ya kirusi unaweza kupoteza pesa zako kama utani hivi. Yani unakua na stress na hela zako mwenyewe.

1xbet
22bet
Helabet
Paripesa
888starz
Melbet

Muda mwingine unaweka kwa simu, ukitaka kutoa hela unakuta mitandao ya simu imeondolewa, unapanick unajikuta ile hela unaibetia tena inapondwa unabaki na 0.
 
Hii kampuni na iogopa km ukomaa niliibiwa pesa baada ya kufungaga mobile payment,wasenge walinihack na kuniibia vijidolar vyang 105 niliumia san had na leo naogopa san bet nisizo sifaham kwa undan
Mkuu kampuni yeyote ambayo anuani yake sio .co.tz na inatumia .com basi jua haijasajiliwa Bongo ila ni wajanja tu wameamua kuipa promo wapige kamisheni, na ikiweka mobile payment haiwezi kuchukua muda zitatolewa sababu ina operate bongo kwa njia za panya zisizo halali

Kwa usalama zaidi tumia njia mbadala kuweka na kutoa kama crypto, wakala nk lakini sio mobile payment...... UTAPIGWA

In short kampuni za jamii ya 1xbet ni nzuri sana lakini changamoto yao ni bet at your own risk⚠️

Sitawasahahu 22bet, nyau kabisa walisepa na hela yangu ndefu sana aisee
 
Makampuni ya kirusi unaweza kupoteza pesa zako kama utani hivi. Yani unakua na stress na hela zako mwenyewe.

1xbet
22bet
Helabet
Paripesa
888starz
Melbet

Muda mwingine unaweka kwa simu, ukitaka kutoa hela unakuta mitandao ya simu imeondolewa, unapanick unajikuta ile hela unaibetia tena inapondwa unabaki na 0.
Mimi kidogo wachukue chao yaani kidogo..nikasema ngoja niache niitafute alternative ya kutolea pesa
 
Makampuni ya kirusi unaweza kupoteza pesa zako kama utani hivi. Yani unakua na stress na hela zako mwenyewe.

1xbet
22bet
Helabet
Paripesa
888starz
Melbet

Muda mwingine unaweka kwa simu, ukitaka kutoa hela unakuta mitandao ya simu imeondolewa, unapanick unajikuta ile hela unaibetia tena inapondwa unabaki na 0.
Kweli kabisa mkuu😂😂😂 ila kati ya hao 1x ni uhakika, shida walipoanzisha kodi tu
 
Mkuu kampuni yeyote ambayo anuani yake sio .co.tz na inatumia .com basi jua haijasajiliwa Bongo na ikiweka mobile payment haiwezi kuchukua muda zitatolewa sababu ina operate bongo kwa njia za panya zisizo halali

Kwa usalama zaidi tumia njia mbadala kuweka na kutoa kama crypto, wakala nk lakini sio mobile payment...... UTAPIGWA

In short kampuni za jamii ya 1xbet ni nzuri sana lakini changamoto yao ni bet at your own risk⚠️
Nifafanulie hapo bet risk kwa 1xbet kivip
 
Ogopa matapeli hao waliniibiaga mwaka huu mwez wa 1,kwa styl hiyo hyo hakun njia ya kutoa pesa nikatumia perfect money aseh sitokuj kusahau walinihack vby san na kuchange pasword na kutoa pesa nilichokuj kukuta ni dola 1 imebak ktk 100 alaf login from turkey,kmmk
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nifafanulie hapo bet risk kwa 1xbet kivip
1xbet haijasjili Tz mkuu
Kampuni halali ni zilizosajiliwa Bongo na bodi ya bahati na sibu na lazima itumie anuani ya .co.tz
Hawa hata wakikudhulumu unakwenda kuwashtaki bodi ya bahati nasibu na unapata haki yako

Hizo zingine sio kampuni halali tunabet kwa njia za panya tu
Hata wakikupiga hauna pa kwenda kulalamika mkuu
 
Nmekusoma mkamaria
 
Makampuni ya kirusi unaweza kupoteza pesa zako kama utani hivi. Yani unakua na stress na hela zako mwenyewe.

1xbet
22bet
Helabet
Paripesa
888starz
Melbet

Muda mwingine unaweka kwa simu, ukitaka kutoa hela unakuta mitandao ya simu imeondolewa, unapanick unajikuta ile hela unaibetia tena inapondwa unabaki na 0.

Wewe jamaa.........sasa tutumie bet ipi yenye usajili hapa na yenye option inayoingiliana?
 
Back
Top Bottom