Wamefunga hadi Skrill maboya hawa sijui ndio wanataka watupige....... ulintumia njia Gani niiepuke?
Wakuu jana niliwauliza na majibu yao yalikuwa ni kuwa wakala wa Tanzania ana changamoto. Soma hiyo meseji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefunga hadi Skrill maboya hawa sijui ndio wanataka watupige....... ulintumia njia Gani niiepuke?
Matapeli tu haoView attachment 3101760
Wakuu jana niliwauliza na majibu yao yalikuwa ni kuwa wakala wa Tanzania ana changamoto. Soma hiyo meseji
Kampuni inazingua hii ngoja nikajaribu kutoa kwa hizo njia nyingine kama itatoka ntarudi kuwapa mrejesho maana Kuna mtu ame suggest astropay
Mkuu kampuni yeyote ambayo anuani yake sio .co.tz na inatumia .com basi jua haijasajiliwa Bongo ila ni wajanja tu wameamua kuipa promo wapige kamisheni, na ikiweka mobile payment haiwezi kuchukua muda zitatolewa sababu ina operate bongo kwa njia za panya zisizo halaliHii kampuni na iogopa km ukomaa niliibiwa pesa baada ya kufungaga mobile payment,wasenge walinihack na kuniibia vijidolar vyang 105 niliumia san had na leo naogopa san bet nisizo sifaham kwa undan
Mimi kidogo wachukue chao yaani kidogo..nikasema ngoja niache niitafute alternative ya kutolea pesaMakampuni ya kirusi unaweza kupoteza pesa zako kama utani hivi. Yani unakua na stress na hela zako mwenyewe.
1xbet
22bet
Helabet
Paripesa
888starz
Melbet
Muda mwingine unaweka kwa simu, ukitaka kutoa hela unakuta mitandao ya simu imeondolewa, unapanick unajikuta ile hela unaibetia tena inapondwa unabaki na 0.
Mi ndio maana nwakubali selcomView attachment 3101760
Wakuu jana niliwauliza na majibu yao yalikuwa ni kuwa wakala wa Tanzania ana changamoto. Soma hiyo meseji
Kweli kabisa mkuu😂😂😂 ila kati ya hao 1x ni uhakika, shida walipoanzisha kodi tuMakampuni ya kirusi unaweza kupoteza pesa zako kama utani hivi. Yani unakua na stress na hela zako mwenyewe.
1xbet
22bet
Helabet
Paripesa
888starz
Melbet
Muda mwingine unaweka kwa simu, ukitaka kutoa hela unakuta mitandao ya simu imeondolewa, unapanick unajikuta ile hela unaibetia tena inapondwa unabaki na 0.
Mkuu shida ni wakala wanayefanya naye kazi. Ila wamesema wapo kwenye process ya kubadilisha wakalaMi ndio maana nwakubali selcom
Nifafanulie hapo bet risk kwa 1xbet kivipMkuu kampuni yeyote ambayo anuani yake sio .co.tz na inatumia .com basi jua haijasajiliwa Bongo na ikiweka mobile payment haiwezi kuchukua muda zitatolewa sababu ina operate bongo kwa njia za panya zisizo halali
Kwa usalama zaidi tumia njia mbadala kuweka na kutoa kama crypto, wakala nk lakini sio mobile payment...... UTAPIGWA
In short kampuni za jamii ya 1xbet ni nzuri sana lakini changamoto yao ni bet at your own risk⚠️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ogopa matapeli hao waliniibiaga mwaka huu mwez wa 1,kwa styl hiyo hyo hakun njia ya kutoa pesa nikatumia perfect money aseh sitokuj kusahau walinihack vby san na kuchange pasword na kutoa pesa nilichokuj kukuta ni dola 1 imebak ktk 100 alaf login from turkey,kmmk
1xbet haijasjili Tz mkuuNifafanulie hapo bet risk kwa 1xbet kivip
Nmekusoma mkamaria1xbet haijasjili Tz mkuu
Kampuni halali ni zilizosajiliwa Bongo na bodi ya bahati na sibu na lazima itumie anuani ya .co.tz
Hawa hata wakikudhulumu unakwenda kuwashtaki bodi ya bahati nasibu na unapata haki yako
Hizo zingine sio kampuni halali tunabet kwa njia za panya tu
Hata wakikupiga hauna pa kwenda kulalamika mkuu
Makampuni ya kirusi unaweza kupoteza pesa zako kama utani hivi. Yani unakua na stress na hela zako mwenyewe.
1xbet
22bet
Helabet
Paripesa
888starz
Melbet
Muda mwingine unaweka kwa simu, ukitaka kutoa hela unakuta mitandao ya simu imeondolewa, unapanick unajikuta ile hela unaibetia tena inapondwa unabaki na 0.
Tumia sporty bet option mbona nyingi tu ushindwe wewe maana hamna option rahisi kwenye betting hata kama ukitumia 1xbet lose zipo pale paleWewe jamaa.........sasa tutumie bet ipi yenye usajili hapa na yenye option inayoingiliana?
Over 1.5Wakuu man city na arsenal nani anakufa?