Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wacha uongo bao ni moja tu lazima kuwe na X hapo hivyo ulivyo andika maana yake yanga ilitakiwa kushinda kila kipindi..2/2 ni sawa sawa na option ya away win both waves
Unacho kisema na hiyo option ni vitu viwili tofauti
 
Bado mechi hizo mbili nipate ya supu 🙏🏾

IMG_6701.png
 
Du hizi mechi mbili ni hstari sana siku zote kwenye mechi lazima zitakuwepo zenye odds ndogo zenye kuchana ..sema nimevuka salama
 

Attachments

  • Screenshot_20240925-235357_SportyBet.jpg
    Screenshot_20240925-235357_SportyBet.jpg
    149.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom