WAKAMARIA:-
Ila sio Siri, Betting inatusaidia mnoo kupeukana na Zinaaaa 🤣🤣🤣
Yaani kila ukiwaza kutongoza pesa ya kumpa mchepuka unaona Bora uhonge CODE
Maana ukiwaza kumpa Buku kumi ai kulipia Kodi ya mchepuko aisee unaiona Bora uandae mkeka.
Mara nyingi ukiwa na mchepuko weekend, team ikichana kabla ya kuingia chimbo basi unaweza kughairi au ukachetua fasta ukasepa zako.
Yaani watu tupo concentrated na wake zetu mnoo kuliko michepuko Vikoba,maana pesa ya kuhonga unaiwazia uset mkeka unique TATA🤣🤣🤣
Watu mpaka pesa ya kulipia Umeme tu mtu anaona aset single bet then extras NDIO alipie, aiseeee
Siku hizi mapenzi ni pesa tu,usijidanganye kupeeendwa,ukifukoa Kazi imeisha, sasa mchepuko una budget yake kalii,huku watu tunawaza CODES tuu
WAKAMARIA wengi Hit and run
Upo na Dem Guest halafu umepanga ulalenae mpaka Asubuhi huku ukiangalia Mechi ya Inter Milan kabakia yeye tu usepe na milioni,aiseee Asubuhi hazifiki 🤣🤣🤣🤣Saa Sita usiku utamuacha peke yake na Nauli tu
Betting oyeeeeeee