Mkuu utatoa kwa kutumia Voda hiyo hiyo. Muda si mrefu watarejesha malipo kwa mitandao ya simu. Inaonekana kuna mgogoro kati ya Wakala wa mitandao ya simu na 888STARZ.Habari wana jamvi, nina changamoto moja naomba mwenye ufahamu anisaidie..
Nilideposit 888starz kwa Vodacom Mpesa nikazungusha mtaji kama wiki nikaipata faida..sasa nilipofanya uamuzi wa ku-withdraw nikakuta huduma ya kutoa kwa mobile haipo, nikajaribu kutafuta wakala na yeye kachemka, naomba mwenye kujua namna anielimishe.
Salute kwenu wawekezaji.